Ajali mbaya morogoro mabasi matatu na lori moja yapinduka. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ajali mbaya morogoro mabasi matatu na lori moja yapinduka.

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Kurunzi, Aug 10, 2012.

 1. Kurunzi

  Kurunzi JF-Expert Member

  #1
  Aug 10, 2012
  Joined: Jul 31, 2009
  Messages: 4,006
  Likes Received: 328
  Trophy Points: 180
  Nipo eneo la makuda kihonda Morogoro ambapo kunàjali ya mabasi matatu Shabiby, Sumry na Alis na lory moja.

  Kumekuwa na foleni kubwa sana kwani magari ya kutoka dodoma na yanayotoka dar hayapiti.

  Kwamujibu wa mashuhuda kumekuwa na majeruhi kadhaa.
   
 2. Mgariga

  Mgariga Senior Member

  #2
  Aug 10, 2012
  Joined: Apr 1, 2011
  Messages: 177
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 45
  Ajali kibao leo cjui vipi: 1. Wami mabasi ya kenya yalikua yanakuja dsm na malaori ya mafuta 2. Hapo kabla hujafika chalinze ukitokea dsm kuna bonge la ajali ya taker la mafuta 3. Kuna basi liliungua moto likienda mtwara jana au juzi 3. Sabeni iliyoua 17 juzi sasa wasema tena kuna nyingine...... Tujisahihishe.........
   
 3. t

  tusichoke JF-Expert Member

  #3
  Aug 10, 2012
  Joined: Apr 2, 2011
  Messages: 1,286
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  pole kwa majeruhi wote,na wapone haraka
   
 4. MAMA POROJO

  MAMA POROJO JF-Expert Member

  #4
  Aug 10, 2012
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 4,966
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 135
  Poleni majeruhi........... poleni wafiwa kama wapo
   
 5. Babkey

  Babkey JF-Expert Member

  #5
  Aug 10, 2012
  Joined: Dec 10, 2010
  Messages: 4,257
  Likes Received: 2,080
  Trophy Points: 280
  ....aisee, mbona ngumu kumeza hii...
  ...poleni wote...
   
 6. OSOKONI

  OSOKONI JF-Expert Member

  #6
  Aug 10, 2012
  Joined: Oct 20, 2011
  Messages: 10,809
  Likes Received: 3,893
  Trophy Points: 280
  duh! hizi ajali sasa too much! majeruhi wapone haraka marehemu wapumzike kwa amani!
   
 7. Advocate J

  Advocate J JF-Expert Member

  #7
  Aug 10, 2012
  Joined: May 24, 2012
  Messages: 3,880
  Likes Received: 101
  Trophy Points: 160
  poleni sana majeruhi na ndugu wa majeruhi
   
 8. Emanuel Makofia

  Emanuel Makofia JF-Expert Member

  #8
  Aug 10, 2012
  Joined: Jan 5, 2010
  Messages: 3,843
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  ize teka kantri
  poleni wahanga
   
 9. Chiwa

  Chiwa JF-Expert Member

  #9
  Aug 10, 2012
  Joined: Apr 17, 2008
  Messages: 1,388
  Likes Received: 716
  Trophy Points: 280
  kuna haja ya kutazama vizuri biashara hii ya magari. kuanzia mkataba wa tajiri na dereva jinsi gari linavyofanyiwa matengenezo makubwa na madogo mfano magari mengi hayazingatii kubadilisha mataili kulingana na kilomita wanaangalia kama taili halina kipara basi liko poa. kingine hata upimaji wa upepo si wa mara kwa mara fikiria gari linatembea zaidi ya km 500 na hakuna kupima upepo katikati.
  madereva wengine hawana mikataba hivyo wanendesha kama day waka sasa hapa ni tatizo sidhani kama mtu hana fedha za kutosha anaweza kufanya kazi vizuri.
   
 10. Baba V

  Baba V JF-Expert Member

  #10
  Aug 10, 2012
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 19,507
  Likes Received: 170
  Trophy Points: 160
  Na hapa buguruni rozana daladala imeteketea jana!
   
Loading...