Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Jamani natumaini mko salama kabisa na wale waungwana waliofunga kwa dhati basi rehema za mwenyezi Mungu ziwatangulie na toba zao zisikike. ndugu yenu nina tatizo moja na linakuwa serious kila muda...
1 Reactions
99 Replies
7K Views
people's ...power! People's power wanakilosa wanahamu sana ya kuiona M4C Kilosa kwani kizuizi nini?
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Jana mida ya mchana ofisi za kata ya mavurunza kimara ilitoa majina ya watu waliochaguliwa kufanya zoezi la sensa ya watu na makazi, ni orodha iliyokua ndefu iliyotokana na watu takribani 1200...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
wananchi na watanzania tunge pendekeza eneo la Janwani Dar ....pangeegwa ZOO kubwa ndani ya ZOO kungekua na mabwawa ya maji nk. pembezoni ya ZOO kungekua na Barabara kubwa 2 toka Sarenda mpaka...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Habari zenu wa jamvi wenzangu natumai hamjambo, Ndugu zangu nina mpango wakuanzisha kituo cha kulea watoto yatima hapo nchini mungu akipenda baada ya miaka 2 ijayo ntapokuwa nimerudi rasmi...
0 Reactions
6 Replies
5K Views
jamani naomba mwongozo km kuna mtu anawaraka wa malipo ya waliohudhuria mafunzo ya sensa.maana cc huku wilaya ya momba.wameambiwa watalipa kwa TGS.nawasilisha.
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Jana usiku saa 2:31 kumetokea tetemeko kubwa la ardhi ambalo lilidumu kwa sekunde kadhaa. Mtikisiko mkubwa ulisikika ukitokea mashariki kuelekea Milima ya Amani Nawasilisha
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Huyu Pasco wa JF leo ameniweka njiapanda pale alipokuwa anahitimisha sherehe za 8'8, akiwa na kundi kubwa la wafanyakazi wa Ikulu. Amesema huku akijiamini, kuwa "Zamani Ikulu ilikuwa ni Mahali...
2 Reactions
28 Replies
3K Views
Ajali basi la SABENA huko Tabora laua 17, yajeruhi 78. Hivi Tz kuna basi linaweza chukua watu 95? askari kwa nini wasiwajibike? Source ITV
2 Reactions
50 Replies
7K Views
WATU 11 wanaoaminika kuwa raia wa Kenya wamefariki dunia papo hapo, huku wengine saba wakiwa mahututi baada ya mabasi waliyokuwa wakisafiria kutoka Nairobi kwenda Dar es Salaam kupata ajali katika...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Kuanzia leo tarehe 22/07/2012 wanyama kutoka MASAI MARA wataanza kusafiri na kuelekea SERENGETI,wamekaa masai mara kwa miezi 3 na sasa wataenda serengeti na watakaa huko kwa miezi 8 Tv zote za...
5 Reactions
66 Replies
8K Views
Aisee baba yangu naangalia itv hapa kwa mwenyekiti wa kijiji hizi ajali zitatumaliza,nilikuwa na mpango wa kwenda dar es salaam tanzania ila nimegairi mpaka mwezi wa kumi 10 manake nasikia huu...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Akitangaza katika taarifa ya habari ya ITV saa mbili, Fatma almai nyangasa amesema ITV na Channel 5 wanaomba radhi kwa kumhoji hakimu aliyekuwa anasikiliza kesi hiyo na kuriport matukio wakati...
1 Reactions
14 Replies
2K Views
Ndugu zao WanaJF nimeshangazwa na moyo wa kutaka mabadiliko aliounyesha Kijana mmoja hapa Mjini Ifakara ambaye baada ya kukosa hela ya kuchangia wakati kikapu kinapitishwa kwenye Mkutano aliamua...
0 Reactions
22 Replies
3K Views
Nasema hivi kwa sababu pamoja na matukio mengi yaliyaandama tangu uchaguzi wa 2010, matukio ambayo huleta hasira kwa karibu kila mtanzania huko maisha yakizidi kuwa magumu kila kukicha, ilhali...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Nimejiuliza swali hili kutokana na unafiki wa hali ya juu ambao wanaojiita wanaharakati wamekua wakiuonesha. Kipindi cha mgomo wa madaktari, hawa wanaojiita wanaharakati walikaa kimya huku...
0 Reactions
1 Replies
15K Views
Nimekuwa nikisikia malalamiko ya wananchi kwa wabunge wao kuhusu uhaba wa huduma za jamii kwenye majimbo yao. Sasa la kujiuliza ni nani wa kulaumiwa kwa matatizo haya kati ya serikali au wabunge...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
watu 12 wafariki papo hapo katika kijiji cha makore - bagamoyo. MWENYE HABARI KAMILI ATUJUZE source. ITV
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Nasikia kunaajali mbaya sana mto wami mwenye taarifa kamili plz atujuze
0 Reactions
26 Replies
5K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…