mafunzo ya sensa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

mafunzo ya sensa

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by mwela, Aug 11, 2012.

 1. m

  mwela Member

  #1
  Aug 11, 2012
  Joined: Apr 26, 2011
  Messages: 47
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 15
  jamani naomba mwongozo km kuna mtu anawaraka wa malipo ya waliohudhuria mafunzo ya sensa.maana cc huku wilaya ya momba.wameambiwa watalipa kwa TGS.nawasilisha.
   
 2. SR senior

  SR senior JF-Expert Member

  #2
  Aug 11, 2012
  Joined: Mar 23, 2012
  Messages: 342
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 35
  kwenu wapi?
   
 3. Ngongo

  Ngongo JF-Expert Member

  #3
  Aug 11, 2012
  Joined: Sep 20, 2008
  Messages: 12,155
  Likes Received: 3,634
  Trophy Points: 280
  Mkuu mwela mimi nimegoma mpaka kipengele cha dini kiwekwe.Kitambulisho cha taifa pia nitakigomea mpaka waweke kipengele cha dini kwanza.Pasport yangu nimeichoma kwasababu haina kipengele cha dini.Sitasafiri mahali popote kwasababu tiketi hazionyeshi dini ya msafiri.

   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Loading...