ajali ya basi tena! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

ajali ya basi tena!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by charminglady, Aug 10, 2012.

 1. charminglady

  charminglady JF-Expert Member

  #1
  Aug 10, 2012
  Joined: Apr 16, 2012
  Messages: 17,858
  Likes Received: 1,132
  Trophy Points: 280
  watu 12 wafariki papo hapo katika kijiji cha makore - bagamoyo. MWENYE HABARI KAMILI ATUJUZE
  source. ITV
   
 2. Dan84

  Dan84 Member

  #2
  Aug 10, 2012
  Joined: Apr 3, 2012
  Messages: 47
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 15
  Pia wengine 25 wajeruhiwa na kukimbizwa muhimbili, mabasi mawili ya Kenya na malori manne yamehusika katika ajali hiyo. Pia mabasi matatu makubwa njia ya Morogoro Dodoma yapata ajali, source TBC: abiria tukemee madereva mwendo kasi, trafiki fanyeni kazi zenu, rushwa ni hatari! Tutakwisha!
   
 3. charminglady

  charminglady JF-Expert Member

  #3
  Aug 10, 2012
  Joined: Apr 16, 2012
  Messages: 17,858
  Likes Received: 1,132
  Trophy Points: 280
  nyingine tena. watu 45 wamejeruhiwa kufuatia ajali iliyohusu mabas matatu. Allys, shabiby na Sumry!
   
 4. Akagando

  Akagando JF-Expert Member

  #4
  Aug 10, 2012
  Joined: May 24, 2012
  Messages: 536
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  Endeleeni kutujuza.
   
Loading...