Maandamano yanukia kata ya mavurunza kimara ni kuhusu majina ya watu waliochaguliwa kufanya sensa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Maandamano yanukia kata ya mavurunza kimara ni kuhusu majina ya watu waliochaguliwa kufanya sensa

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by mirindimo, Aug 11, 2012.

 1. mirindimo

  mirindimo JF-Expert Member

  #1
  Aug 11, 2012
  Joined: Nov 2, 2009
  Messages: 522
  Likes Received: 169
  Trophy Points: 60
  Jana mida ya mchana ofisi za kata ya mavurunza kimara ilitoa majina ya watu waliochaguliwa kufanya zoezi la sensa ya watu na makazi, ni orodha iliyokua ndefu iliyotokana na watu takribani 1200 walioomba kufanya zoezi hilo,

  kitu kilichoshangaza raia hawa na kubaki na sintofahamu ni leo asubuhi baada ya orodha ile kutolewa na kubandikwa orodha nyingine ambayo ina majina tofauti na yaliyokuepo katika orodha ya mwanzo na inasemekana asilimia kubwa ya majina hayo hawatoki maeneo ya kimara bali ni orodha ya viongozi waliyokua wameiandaa wao kwa maslahi binafsi...

  Hivi sasa raia wanaendelea kusogea katika ofisi hizo za kata huku wengi wao wakiwa ni wale waliotolewa katika orodha ile na wametishia kuandamana ili haki itendeke, wakati huo huo inasemekana ndani ya ofisi hizo za kata ya mavurunza kuna kikao kigumu kinaendelea ndani....tutaendelea kuwajuza yatakayojiri
  :director:
   
 2. n

  njem Member

  #2
  Aug 11, 2012
  Joined: Jul 27, 2012
  Messages: 5
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  hata mm walinichakachua patachimbika
   
 3. M

  Mjenda Chilo JF-Expert Member

  #3
  Aug 11, 2012
  Joined: Jul 20, 2011
  Messages: 1,425
  Likes Received: 63
  Trophy Points: 145
  chama chako?
   
 4. Nduka

  Nduka JF-Expert Member

  #4
  Aug 11, 2012
  Joined: Dec 3, 2008
  Messages: 8,479
  Likes Received: 760
  Trophy Points: 280
  Domo ghasia na maandano. Chaga Development Manifesto.
   
 5. F

  FUNGO jr JF-Expert Member

  #5
  Aug 11, 2012
  Joined: Oct 28, 2011
  Messages: 252
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  wamesharudisha majina waloyachakachua. Alienda diwani wa chadema m4c daima
   
Loading...