Ajali wami | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ajali wami

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Topetope, Aug 10, 2012.

 1. T

  Topetope JF-Expert Member

  #1
  Aug 10, 2012
  Joined: Aug 1, 2011
  Messages: 273
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 35
  Nasikia kunaajali mbaya sana mto wami mwenye taarifa kamili plz atujuze
   
 2. omujubi

  omujubi JF-Expert Member

  #2
  Aug 10, 2012
  Joined: Dec 6, 2011
  Messages: 4,144
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  inahusiana na hii????
  Source: Eight Kenyans feared dead in Tanzania road crash- News|nation.co.ke

  Eight Kenyans feared dead in Tanzania road crash


  By NATION Reporter

  Posted Friday, August 10 2012 at 09:28  At least eight Kenyan church faithful are feared dead after an accident involving two buses in Tanzania.

  Many others from the Presbyterian Church of East Africa (PCEA) Thika Women's Guild are believed injured.

  The women group was headed to the Tanzanian capital, Dar es Salaam for a retreat when the accident occurred at Tanga at around 5.30am Friday.  According to eyewitnesses, one of the buses apparently stalled and its occupants called for help from colleagues on the other vehicle.


  Reports indicate that the bus turned back in response to the distress calls.

  At the scene, a truck rammed both buses from behind.

  Rescue efforts are underway.
   
 3. Bushbaby

  Bushbaby JF-Expert Member

  #3
  Aug 10, 2012
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 1,577
  Likes Received: 80
  Trophy Points: 145
  Kama ni kitu usichokijua Thread umeanzisha ya nini?...
   
 4. G

  Gwakisa Mwandule JF-Expert Member

  #4
  Aug 10, 2012
  Joined: Jun 20, 2012
  Messages: 520
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Umeota ndoto au umepigiwa simu au umejuaje hizo tetesi?Lakini tutaendelea kufuatilia usijali kiongozi
   
 5. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #5
  Aug 10, 2012
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,475
  Likes Received: 4,134
  Trophy Points: 280
  [h=6]Breaking News: Watu kadhaa wahofiwa kufa katika ajali Pwani

  Watu kadhaa wahofiwa kufa baada ya mabasi mawili ya abiria yaliyokuwa yakitokea Nairobi nchini Kenya kuja Dar es Salaam kupata ajali leo alfajiri kabla ya kufikia eneo la Mto Wami, Mkoani Pwani.[/h]
  Hiyo nimeiona kwenye wall ya East African Tv kule FB, japo nao hawajatoa habari zaidi.
   
 6. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #6
  Aug 10, 2012
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,475
  Likes Received: 4,134
  Trophy Points: 280
  Itakuwa ndio hiyo...
   
 7. Ringo Edmund

  Ringo Edmund JF-Expert Member

  #7
  Aug 10, 2012
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 4,895
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  watu kadhaa wamekufa na 15 kujeruhiwa eneo la makole,pwani baada ya mabasi mawili kupata ajali
  .nalo lori la mafuta lapinduka na kufunga njiaeneo la lugoba,watu waiba mafuta
  source;redio one stereo.
   
 8. u

  upendom Member

  #8
  Aug 10, 2012
  Joined: Sep 17, 2011
  Messages: 53
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  strange!
   
 9. Donnie Charlie

  Donnie Charlie JF-Expert Member

  #9
  Aug 10, 2012
  Joined: Sep 16, 2009
  Messages: 6,581
  Likes Received: 848
  Trophy Points: 280
  ingawa 90% ya ajali Tanzania ni uzembe ila hii wiki ina lake jambo.
   
 10. omujubi

  omujubi JF-Expert Member

  #10
  Aug 10, 2012
  Joined: Dec 6, 2011
  Messages: 4,144
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  hebu angalia hizi ajali ni za juma moja tu na ukisogeza majuma mawili nyuma inakuwa balaa. Mambo yanayotokea hapa ni kweli yanaanza kuwa kama ndoto maana ni vigumu kuamini!!! Ukweli SUMATRA wako likizo na ndio maana Dr. Mwakyembe 'alitukanwa' na abiria Ubungo na mengineyo baada ya kwenda kufanya ukaguzi mwenyewe.
   
 11. saragossa

  saragossa JF-Expert Member

  #11
  Aug 10, 2012
  Joined: Jan 3, 2011
  Messages: 2,141
  Likes Received: 148
  Trophy Points: 160
  Hii wiki noma hii.....
   
 12. Mangaline

  Mangaline JF-Expert Member

  #12
  Aug 10, 2012
  Joined: May 19, 2012
  Messages: 1,052
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  "Tumezipokea taarifa za ajali hii kwa masikitiko sana. wenzetu wametutangulia mbele za haki, Mwenyezi Mungu awalaze mahali pema" Ameni!!!
   
 13. Zemu

  Zemu JF-Expert Member

  #13
  Aug 10, 2012
  Joined: Jun 5, 2008
  Messages: 517
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  R.I.P wahanga wote.
   
 14. LiverpoolFC

  LiverpoolFC JF-Expert Member

  #14
  Aug 10, 2012
  Joined: Apr 12, 2011
  Messages: 11,001
  Likes Received: 153
  Trophy Points: 160
  Bushbaby! Hakika lisemwalo lipo na kama halipo hakika laja!
  Jamaa bila shaka amepata taarifa hii kama tetesi na akatubandikia kwa mwenye hbr atujuze!
  Bushbaby! Wewe ni member kongwe tuna kutegemea na bila shaka ukibandika sasa hivi uzi wowote hapa nilazima itakuwa ya kweli tu hata kama ungekuja kama tetesi!

  Nimepata hbr hii ya kwmb ilikuwa mbaya sana na ni kama alivyosema member kongwe Ringo!

  Majeruhi MUNGU awape nguvu mpone mapema na wote ndg jamaa na hata marafiki tunaungana wote katika kufarijiana kwa wale wote waliopoteza maisha na MUNGU awalaze roho zao mahala pema peponi.   
 15. K

  Kyachakiche JF-Expert Member

  #15
  Aug 10, 2012
  Joined: Feb 16, 2009
  Messages: 911
  Likes Received: 62
  Trophy Points: 45
  Kuna mtu wangu yuko kwenye eneo la tukio ameniarifu kuwa zaidi wa watu 30 watakuwa wamekufa.
   
 16. Mshuza2

  Mshuza2 JF-Expert Member

  #16
  Aug 10, 2012
  Joined: Dec 27, 2010
  Messages: 4,119
  Likes Received: 1,746
  Trophy Points: 280
  Hii wiki sijui inaishaje,kila kona ajali..Mungu atuepushie!
   
 17. omujubi

  omujubi JF-Expert Member

  #17
  Aug 10, 2012
  Joined: Dec 6, 2011
  Messages: 4,144
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  alafu unakuta mtu na akili zake timamu anasema .."oh, Freemasons" na mambo mengine kama hayo lakini nadhani ni negligence na baada ya ngazi za juu kuharibika sasa ndio uzembe unajikita kwenye level za operations/functional. Tabu kweli
   
 18. data

  data JF-Expert Member

  #18
  Aug 10, 2012
  Joined: Apr 9, 2011
  Messages: 16,793
  Likes Received: 6,573
  Trophy Points: 280
  ..dah! R.I.P
   
 19. C

  Caroline Danzi JF-Expert Member

  #19
  Aug 10, 2012
  Joined: Dec 19, 2008
  Messages: 3,629
  Likes Received: 58
  Trophy Points: 145
  Mrudieni Mungu, kutwa tunashindia kufanya mambo ambayo hayana hata chembe moja ya kumtumikia, unataka iweje? Mungu apumzishe roho za marehemu pema peponi. Get prepared guys, hujui kesho kunani.

  Poleni wafiwa wote.
   
 20. kapolo

  kapolo JF-Expert Member

  #20
  Aug 10, 2012
  Joined: Feb 2, 2012
  Messages: 284
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Nackia ni shabiby ya dodoma..
   
Loading...