Tetemeko la ardhi muheza | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tetemeko la ardhi muheza

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Madikizela, Aug 11, 2012.

 1. Madikizela

  Madikizela JF-Expert Member

  #1
  Aug 11, 2012
  Joined: Jul 4, 2009
  Messages: 319
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 45
  Jana usiku saa 2:31 kumetokea tetemeko kubwa la ardhi ambalo lilidumu kwa sekunde kadhaa. Mtikisiko mkubwa ulisikika ukitokea mashariki kuelekea Milima ya Amani
  Nawasilisha
   
 2. S

  Sometimes JF-Expert Member

  #2
  Aug 11, 2012
  Joined: Dec 28, 2010
  Messages: 4,567
  Likes Received: 360
  Trophy Points: 180
  Tunashukuru kwa kutujuza. Hakuna maafa yeyote yaliyotokea!
   
 3. Gama

  Gama JF-Expert Member

  #3
  Aug 11, 2012
  Joined: Jan 9, 2010
  Messages: 9,225
  Likes Received: 1,411
  Trophy Points: 280
  Zamani babu yangu aliwahi kunijuza kuwa ujio wa tetemeko ni ishara ya kuwepo kwa janga , labda ndo maana wiki hii tumewapoteza wapendwa wetu wengi kwa ajali za barabarani......
   
Loading...