Ajali mbaya imetokea karibu na Stears , DAR

Ajali mbaya imetokea karibu na Stears , DAR

MaxShimba

Platinum Member
Joined
Apr 11, 2008
Posts
36,008
Reaction score
4,093
557296_10151349237702468_1311134701_n.jpg
 
City centre ajali ya namna hii ni ishara tosha ya kutokuheshimu sheria za barabarani ingawa tunasema ajali haina kinga. Anyway, poleni sana...
 
matokeo ya hii ajali yakoje.by the way polen sana mliohusika
 
Hamna kitu kitanishangaza tena hapa Bongo. Mpaka labda nitakapokuta Meli airport (JKNIA). Kwa muonekano wa picha na hali ya hiyo gari inaonekana si ajali ndogo.
 
Sasa pale steers si kuna junction kubwa so inabidi dereva wapunguze speed? Kwa ajali hyo nadhani wote wana makosa flora msoffe hyo gari itakuwa mpya aliweka engine no. Akisubiria apate lisence plate kutoka kwenye kampuni ya shemeji.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom