Pasco Na Comment Zake Kuhusu Ikulu. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Pasco Na Comment Zake Kuhusu Ikulu.

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by PakaJimmy, Aug 9, 2012.

 1. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #1
  Aug 9, 2012
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 309
  Trophy Points: 180
  Huyu Pasco wa JF leo ameniweka njiapanda pale alipokuwa anahitimisha sherehe za 8'8, akiwa na kundi kubwa la wafanyakazi wa Ikulu.
  Amesema huku akijiamini, kuwa "Zamani Ikulu ilikuwa ni Mahali Patakatifu, lakini sasa hivi JK amepafanya pamekuwa Down To Earth na pako Reachable"!
  Kwa kauli hiyo Pasco anaweza kutafsiriwa kwa namna 2.
  -Aidha anaponda Ikulu ya enzi za Mwalimu kuwa iliibana mno Ikulu,
  -Au anaponda Ikulu ya JK kuwa imekuwa too linient kwa raia na wageni.
  Wadau wenzangu mnaisomaje kauli hiyo?
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 2. E

  Elizabeth Dominic Platinum Member

  #2
  Aug 9, 2012
  Joined: Dec 7, 2007
  Messages: 4,547
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 145
  Vyote sawa
   
 3. Johnsecond

  Johnsecond JF-Expert Member

  #3
  Aug 10, 2012
  Joined: May 4, 2010
  Messages: 1,077
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Huyu Pasco siku hizi anataka kuwa kama clouds nilivyoipiga ban kusikilizwa na mimi. Anapenda kupendwa kote ila zaidi apendwe na system bila sisi kujua, utamsikia akisema constructive opinions kuhusu JK. Unataka kufanya renovations kwenye jengo ambalo limeanguka miaka mingi, sisi tunataka kujenga jipya. Pasco muhuni tu
   
 4. Matola

  Matola JF-Expert Member

  #4
  Aug 10, 2012
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 36,045
  Likes Received: 13,277
  Trophy Points: 280
  Pasco anajiandaa kushika kurugenzi ya mawasiliano ikulu kwenye ufalme wa Lowasa.
   
 5. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #5
  Aug 10, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  mmmmmmmh,mdau sio kuwa mkuu wa wilaya ya MBAGARA RANGI 4?????
   
 6. Blood Hurricane

  Blood Hurricane JF-Expert Member

  #6
  Aug 10, 2012
  Joined: Jun 21, 2012
  Messages: 1,151
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 145
  PPR anayoitegemea tutaiua soon we mwache tu maneno yaliponza kichwa hivi hajui hilo?
   
 7. Matola

  Matola JF-Expert Member

  #7
  Aug 10, 2012
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 36,045
  Likes Received: 13,277
  Trophy Points: 280
  Hapana cheo cha Udc ni kidogo sana kwa Pasco, Salva aanze kufungasha virago vyake maana ni lazima aondoke na Mkwele wake.
   
 8. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #8
  Aug 10, 2012
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 309
  Trophy Points: 180
  Binafsi sijaona sababu ya kufurahia Ikulu inapokuwa "Down to Earth au reachable" kama ambavyo Pasco alionyesha kufurahia kauli hiyo akiwa na waandamizi wa Ikulu!
  Watanzania tunapata nn kutokana na hilo? Mwanahabari mwenzako Saeed anafungiwa chombo chake, lakin mtu anasema Ikulu iko down to earth!
  Labda niungane na mdau mmoja hapo juu kuwa ishu hapa ni kitengo cha Mawasiliano IKulu.
   
 9. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #9
  Aug 10, 2012
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Anasaka UDC
   
 10. Father of All

  Father of All JF-Expert Member

  #10
  Aug 10, 2012
  Joined: Feb 26, 2012
  Messages: 3,093
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  Ikulu yetu impondwa na kuchafuliwa na Mwinyi Mkapa na Kiwete kutokana na uhovyo wao. Hivyo hakuna anayeweza kuiponda wakati ilipondeka siku alipoondoka Mwalimu Nyerere.
   
 11. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #11
  Aug 10, 2012
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 309
  Trophy Points: 180
  U-DC ni nafasi ndogo mno kwa Pasco.
  Ktk hali ya kawaida usingetegemea Pasco apewe au awanie nafasi moja na Mrisho Gambo au Ernest Makunga. I think he aims a bit higher ndiyo maana anapata guts hizo za kuchekacheka mbele ya akina Mama Kaganda, akijua one way another watatia joto wishes zake.
   
 12. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #12
  Aug 10, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,154
  Likes Received: 2,406
  Trophy Points: 280
  Go on Paschal
   
 13. kussy

  kussy JF-Expert Member

  #13
  Aug 10, 2012
  Joined: Jun 15, 2010
  Messages: 346
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 35
  Jamani mbona ilishakanushwa kwamba Pasco wa JF si wa 8'8 au mimi sikuelewa?
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 14. Lambardi

  Lambardi JF-Expert Member

  #14
  Aug 10, 2012
  Joined: Feb 7, 2008
  Messages: 10,314
  Likes Received: 5,607
  Trophy Points: 280
  Nasubiri sana mwishoni mwa 2014...tuanze sinema mpya za uchaguzi na fitna zake!!!!
   
 15. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #15
  Aug 10, 2012
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 309
  Trophy Points: 180
  Hizo mbwembwe tu broda...!
   
 16. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #16
  Aug 10, 2012
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,496
  Likes Received: 19,901
  Trophy Points: 280
  si bora ashike yeye jf ijivunie kuliko hao wasioshau
   
 17. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #17
  Aug 10, 2012
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 309
  Trophy Points: 180
  Lowassa yupi?...huyu aliyeshabikia vita juzi?
   
 18. N

  Ndinani JF-Expert Member

  #18
  Aug 10, 2012
  Joined: Aug 29, 2010
  Messages: 5,413
  Likes Received: 734
  Trophy Points: 280
  Pasco is a MOLE!!!! Nyie vilaza hilo sio tusi angalieni maana yake kwenye kamusi.
   
 19. Yo Yo

  Yo Yo JF-Expert Member

  #19
  Aug 10, 2012
  Joined: May 31, 2008
  Messages: 11,247
  Likes Received: 73
  Trophy Points: 0
  aiseeeee Pasco ni msomi mwenye akili mno na muandishi wa habari mtukuka mwenye weledi aliewahi kutokea tanzania na mwenye kipaji cha ajabu .......nchi za magharibi zinamgombea afanye nao kazi na mara nyingi wamem approach ahamie nchi zao na kupewa full presidential packages......tatizo watanzania vipaji kama vya pasco hamvithamini mnaviponda na kuvinanga bila sababu......

  Pasco naweza kumuweka level moja na nguli kama Anderson cooper wa CNN,the late Shepard Smith WA fox news,Don Lemon,Thomas Roberts wa MSNBC,Dan Kloeffler wa ABC....ni moja ya vipaji adimu africa....
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 20. Lokissa

  Lokissa JF-Expert Member

  #20
  Aug 10, 2012
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 7,079
  Likes Received: 155
  Trophy Points: 160
  mnamzungumzia pasco yupi hapa jf wapo wawili pasco mayala na pasco.
  na pasco alikataa kuwa yeye sio mayala alikubali ni mgawa bahasha na kuna pasco mayala
  wote wajitokeze hapa watuambie mitizamo yao.

  mayala namkubali tangu enzi za dtv itv tbc. ana sauti nzuri na weledi uliotukuka ila hathaminiwi na media owners
   
Loading...