Nani alaumiwe | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nani alaumiwe

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by STALLEY, Aug 10, 2012.

 1. STALLEY

  STALLEY JF-Expert Member

  #1
  Aug 10, 2012
  Joined: May 5, 2012
  Messages: 530
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 45
  Nimekuwa nikisikia malalamiko ya wananchi kwa wabunge wao kuhusu uhaba wa huduma za jamii kwenye majimbo yao.

  Sasa la kujiuliza ni nani wa kulaumiwa kwa matatizo haya kati ya serikali au wabunge kwa sababu ninavyo fahamu fedha za miradi ya maendeleo hazitoki mfukoni kwa mbunge bali zinatoka serikalini.

  Anachofanya mbunge ni kupeleka matatizo ya wapiga kura wake sehemu husika ambapo matatizo hayo huweza kutatuliwa au yasitatuliwe kutokana na mipango ya serikali na uwezo wa kifedha.

  je ni sahihi kutupa lawama kwa wabunge wetu?
   
 2. HASSAN SHEN

  HASSAN SHEN JF-Expert Member

  #2
  Aug 10, 2012
  Joined: Mar 26, 2009
  Messages: 428
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Hao wabunge ni watchdogs lazma wahoji matumizi yasiyo sahihi na si ku enjoy tu,ndo maana tukawachagua ili watuwakilishe,kwani hatuwezi kuifanya hyo kazi wote.
   
 3. K

  Kiswigo Member

  #3
  Aug 10, 2012
  Joined: Aug 9, 2012
  Messages: 56
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Swali hili ni la mtu asiye na ufahamu wa majukumu ya msingi ya mbunge. Hivi unadhani kwa nini wabunge huondolewa madarakani baada ya muda? Kama walijua hawana control na resources kwa nini wagombee? Ili wakafanye nini?
   
 4. b

  bonde Member

  #4
  Aug 10, 2012
  Joined: Jun 28, 2012
  Messages: 24
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  think twice kabla hujapost mada
   
 5. Mag3

  Mag3 JF-Expert Member

  #5
  Aug 10, 2012
  Joined: May 31, 2008
  Messages: 9,094
  Likes Received: 6,188
  Trophy Points: 280
  Duh! Kazi tunayo.
   
Loading...