Majimbo haya Nayahitaji Sana ili kumaliza unafiki wao!!!!!!!!!!!!!

Man 4 M4C

JF-Expert Member
Aug 2, 2012
743
114
Majimbo ya wanafiki yanatakiwa kurudishwa nyumbani.....................je mnayajua? Mtera,Same Mashariki,Simanjiro,Bunda na mengine mtayajazia wenyewe!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Hai, rombo,kigoma kusini,kigoma kaskazini,mbeya mjini,iringa mjini, na mengine mengine
 
Kasulu mjini...,hili jimbo kuna vitu ving naona bdo havijatekelezeka kama umeme upo tu baadh ya sehemu,barabara..,elimu,afya nitareta mabadiliko
 
Back
Top Bottom