Tawi la chadema london ni la wauza unga ? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tawi la chadema london ni la wauza unga ?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Bull, Aug 8, 2012.

 1. B

  Bull JF-Expert Member

  #1
  Aug 8, 2012
  Joined: Nov 4, 2008
  Messages: 984
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Baada ya Ndugu Godbless Lema kukosa msaada ya pesa toka kwa Meya Boris Johson wa London, aliamua kuomba misaada makanisani kwa ajili ya Chadema, J’pili ijayo, Mr. Lema anategemea kufanya harambee ya michango ya chama katika kanisa la Kiswahili pale Westminster.

  Kama kawaida ya Lema na chadema, walikurupuka na kuamua kuanzisha tawi la chadema mjini London kwenye baa ya wakenya, ni baa hii ambayo Muheshimiwa Chenge aliitumia ku-sign mikataba fisadi.

  Tawi hili la Chadema nimefunguliwa na watu wasio zidi 15 pamoja na ndugu zak, na limefanikiwa kuandikisha wanachama 3 pekee.

  Wengi walio hudhuria na kuliongoza tawi hilo ni wauza unga wanaojulikana na MI5 na walevi mashuhuri hapa London walio na kawaida ya kukesha kwenye baa hiyo

  Lema na Chama chake, walishindwa kabisa kuwashawishi wasomi na watanzaia makini waliopo London- INASIKITISHA!!!
   
 2. B

  Bull JF-Expert Member

  #2
  Aug 8, 2012
  Joined: Nov 4, 2008
  Messages: 984
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nilsoma sehemu, walinyimwa misaada wakaambiwa London assembley wametumia pesa nying ku-invest on olympic. hiki kweli ni chama cha wakurupukaji
   
 3. D

  Dr.Who Senior Member

  #3
  Aug 8, 2012
  Joined: Jun 23, 2012
  Messages: 172
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mamaaaaaaaaa, Mwizi wa Magari anashirikiana na wauza unga, kweli chadema wanampango wa ku-rise fund kuelekea uchaguzi wa 2015 by any means
   
 4. MATESLAA

  MATESLAA JF-Expert Member

  #4
  Aug 8, 2012
  Joined: Aug 11, 2011
  Messages: 1,252
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  La c c m aka magamba tawi lao ni lakuuza papa na tigo
   
 5. Mtimti

  Mtimti JF-Expert Member

  #5
  Aug 8, 2012
  Joined: Feb 23, 2008
  Messages: 912
  Likes Received: 185
  Trophy Points: 60
  kweli anguko la ccm limeshafika..na waswahili wanasema MWOGA MUONGEZEE UOGA...mnazidi kuwa na woga na hofu zimewajaa mpk mnakuwa hamjielewi.
  mnapajua london kwa kuangalia movie tu eeeh?....jana nilikuwepo na mambo yalienda vizuri sana,hakukuwa na fuso la kubeba watu kuwaleta kama mnavyofanya nyie ccm kwenye mikutano yenu....
  unashangaa mkutano kufanyika pub?we umeshawahi kufika London?..mi ni muislam na naswalia gadenham heathway,kuna ukumbi tunaswali na mlango mwingine kuna jamaa wanapiga disco hivyo kikubwa ni kujua ulichokifuata
  siku ya mkutano ukumbi ulitenganishwa na bar hivyo watu wa waliokuja bar hatukuwa na mawasiliano nao
  jaribuni propaganda nyingine lakini kwa hili mmeshindwa....rais wenu anavyofuturisha watu kwenye mahoteli mbona hamji hapa kulalamika?..kazi ndio imeanza london
   
 6. S

  SASTONI Member

  #6
  Aug 8, 2012
  Joined: Aug 7, 2012
  Messages: 27
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  Hatari sana kutafuta waharifu kuwa wanachama najua waharifu siku zote hawawapendi wanao wakamata hivyo wanafikiri kuna Chama au serikari itakayo wakubali? dawa ni kuacha kutumia madawa na makosa mengine ya jinai huta kwazana na serikali yoyote ile>
   
 7. B

  Bull JF-Expert Member

  #7
  Aug 9, 2012
  Joined: Nov 4, 2008
  Messages: 984
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hawakufanikiwa kupata wanacham bali niwatatu tu, wakiwemo viongozi waalifu hapa nchini, kwa hiyo chama kinaongozwa na wauza unga, sidhani kama kuna mtanzania atakae kubali kuchukua kadi ya chadema toka kwa ma-dealers

  Inasemena Lema kakimbia UK kwa aibu na ame cancell harambee ya kuchangisha makanisani, amekimbilia Germany-TZ
   
 8. Richard

  Richard JF-Expert Member

  #8
  Aug 9, 2012
  Joined: Oct 23, 2006
  Messages: 8,253
  Likes Received: 4,275
  Trophy Points: 280
  Mkuu,

  Tuletee ushahidi wa madai yako, maana umesema hawa ni wauza unga.

  Haya ni madai mazito sana.

  Angalia sana unachoandika.
   
 9. Z

  ZeMarcopolo JF-Expert Member

  #9
  Aug 9, 2012
  Joined: May 11, 2008
  Messages: 13,589
  Likes Received: 480
  Trophy Points: 180
  Kashafungua matawi saba aliyotangaza atafungua Uingereza?
  Kashakutana na Meya wa London kama alivyosema?
   
 10. B

  Bull JF-Expert Member

  #10
  Aug 9, 2012
  Joined: Nov 4, 2008
  Messages: 984
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0

  We unaishi wapi? kwa London hawa watu wanaeleweka na hakuna mtanzania makini atakae associate na hawa watu kwa sababu ya sifa zao, Lema alitakiwa kufanya uchunguzi kabla ya kuvamia na kujisalimisha kwa hawa jamaa, as result hakuna wanachama waliojiandikisha zaid ya wenyewe

  Simply hawa jamaa wanajulikana uliza wenyeji watakuambia.
   
 11. B

  Bull JF-Expert Member

  #11
  Aug 9, 2012
  Joined: Nov 4, 2008
  Messages: 984
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Soma maelezo ya thread utapata jibu kamili
   
 12. Mwali

  Mwali JF-Expert Member

  #12
  Aug 9, 2012
  Joined: Nov 9, 2011
  Messages: 7,032
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  Wangekua wauza unga wanao julikana na MI5 wangekua jela, sio bar.
   
 13. B

  Bull JF-Expert Member

  #13
  Aug 9, 2012
  Joined: Nov 4, 2008
  Messages: 984
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0

  Mkuu, Pale UK wazee hawavamii watu kama bongo, wanaweza kuwa ktk list ya MI5 zaidi ya miaka kadhaa ndipo ukavamiwa, kwa sasa hivi wenyeji wa London wanwafahamu vizuri na ndio maana wenye heshima zao hawakuhudhuria hata kiakao na sidhani kama chadema watweza kupata wanachama zaidi ya hao viongozi waliojichagua
   
 14. Mwali

  Mwali JF-Expert Member

  #14
  Aug 9, 2012
  Joined: Nov 9, 2011
  Messages: 7,032
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  Bila kua mtaalam wa sheria za UK naweza kusema kama
  hawavamiwi itakua sababu hakuna ushahidi wa kutosha
  Ushahidi ukiwepo watavamiwa na kutiwa ndani mapema
  But please carry on, this was just a bracket in the thread
   
 15. Richard

  Richard JF-Expert Member

  #15
  Aug 9, 2012
  Joined: Oct 23, 2006
  Messages: 8,253
  Likes Received: 4,275
  Trophy Points: 280

  Madai yako yanafanyiwa kazi, ahsante kwa kutufahamisha, watu wa SOCA wanafuatilia hii.
   
 16. B

  Bull JF-Expert Member

  #16
  Aug 9, 2012
  Joined: Nov 4, 2008
  Messages: 984
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0

  Sawa mkuu, MI5 wanaweza wasiwe na ushahidi wa kutosha kuwapeleka mahakamni,(wanabaki kuwa suspected) lakini cha msingi zaidi community ya watanzania uk, wanawajua wanajishughilisha na nini, hata kama community nao hawana ushahidi wa kuwashtaki, bado inabaki kuwa ni dosari kwa jamaa hawa na baya zaidi nipale wanapopewa madaraka ya chama kama hiki.
   
 17. Richard

  Richard JF-Expert Member

  #17
  Aug 9, 2012
  Joined: Oct 23, 2006
  Messages: 8,253
  Likes Received: 4,275
  Trophy Points: 280
  Mkuu haya madai ni mazito sana yaani "serious allegations" na kama wao wanaona hii watafikiria upya mmstakabali mzima wa wao kuwa viongozi wa muda.

  Kuna aina mbili za conspirancy, you know? Kuna ile kwamba haki ya watu kufahamu jambo kwa mapana inavurugwa au kupindishwa. Hii tunasema kwa kiingereza ni "to defraud or to corrupt public morals".

  Ina ya pili ya "conspirancy" ni pale kufanya makosa mengine kama vile kushirikiana kuvunja benki na kukwapua pesa kwa pamoja iwe watu wawili au zaidi.

  Sasa wewe naweza kukuweka katika aina ya kwanza ya "conspirancy" kwamba unajaribu kuondoa moral support ya watu kuhusu jitihada za M4C.

  Ntaweza kukuengua tu kwenye orodha kama utaweka ushahidi wa tuhuma zako.
   
 18. B

  Bull JF-Expert Member

  #18
  Aug 9, 2012
  Joined: Nov 4, 2008
  Messages: 984
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0

  Mkuu, soma majibu ya mwali hapo juu, vinginevy mtanipa wasiwasi na uwezo wenu wa kufahamu na uelewa wa wana-chedema
   
 19. Richard

  Richard JF-Expert Member

  #19
  Aug 9, 2012
  Joined: Oct 23, 2006
  Messages: 8,253
  Likes Received: 4,275
  Trophy Points: 280
  Hio ya Mwali nimeiona.

  Najaribu kuona uwezo wako wa kutetea hoja yako wewe si umeleta hoja mkuu na si ipo kwenye hoja mchanganyiko?

  Lakini kwa kuwa huna uhakika na unauliza tu basi tuiache kama ilivyo na kubakia kuwa ni fimbo ya mbali.
   
 20. B

  Bull JF-Expert Member

  #20
  Aug 9, 2012
  Joined: Nov 4, 2008
  Messages: 984
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0

  Mkuu, ukisoma vizuri majibu niliyo mjibu mwali yataondoa utata wako, nisingependa kujaza thread kwa kurudiarudia, nakuomba urudi nyuma usome vizuri and then tuendelee

  Na wala haya madai si fimbo ya mbali, bila shaka ukiacha ushabiki unaelewa kuwa ufunguzi wa tawi hili la London halikuwa na mafanikio kwa sababu ya waandaaji wanavyoonekana ktk jamii ya wa tz pale uk
   
Loading...