Jeshi la Kupinga CCM( CCM Resistance Army (C.R.A)

Lord K

JF-Expert Member
Feb 17, 2012
213
37
Katika harakati za kuipinga na kuiondoa CCM madarakani ,humu jamii forum tunaanzisha rasmi jeshi la kupinga kuonewa,kunyanyaswa pamoja na udhalimu mwingine wowote unaofanywa na serikali hii ya CCM.Kwa kuanzia tuanze kuhamasishana kwa kukumbushana unyama uliofanywa na serikali hii ili tuwe na ari ya kusonga mbele.....

Naanza kwa kukumbushia kumwagiwa maji ya kuwasha wazee waliokuwa Jumuia ya Africa Mashariki wanaoidai serikali

Polisi kupiga risasi na kuwaua waandamanaji Arusha

Jazzia na wewe yakwako humo...............
 
Back
Top Bottom