Nimeamini mgomo wa walimu upo!!!!!!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nimeamini mgomo wa walimu upo!!!!!!!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by mabwepand, Aug 13, 2012.

 1. m

  mabwepand Member

  #1
  Aug 13, 2012
  Joined: Jul 16, 2012
  Messages: 84
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 15
  Juzi Jumamosi nilikuwa naskiliza kipindi cha watoto nimekaa nyumbani nilisikitika sana wanafunzi hao wa darasa la tatu na la nne hawajui kabisa kutenganisha maana ya Nahau,Methali na Vitendawili nikafikiria hawa ndio tunategemea darasa la saba wafaulu waje kujenga taifa letu nikaamini kweli hizi shule zetu za serikali ni mbora liende mwisho wa mwezi ufike achukue mshahara basi,kilichonisikitisha zaidi mtoto anaulizwa Tanganyika ilipata Uhuru Mwaka Gani hajui na swali halikujibika na mwanafunzi yoyote,Raisi wako wa nchi ni nani hajui kimya nikaamini kuna mgomo Baridi shuleni Chonde Chone watoto wa Maskini tutakuwa Maskini ambao silabasi zetu si za kingereza its shame!!!
   
Loading...