Chadema someni apa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Chadema someni apa

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by apprux, Aug 12, 2012.

 1. a

  apprux Member

  #1
  Aug 12, 2012
  Joined: Mar 22, 2012
  Messages: 30
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mimi sio mfuasi wa chama chochote tanzania, you can not blame me but vyama vyote havisimamii slogan zao, zinafata siasa za upepo....All in all like everybody else nataka mabadiliko katika serekali, and nahisi chadema nao wanataka ichi, so mara nying najikuta nawaombea mema lakini kamwe sitaki kuwapendelea.

  Chadema mnalala while mkijua nyie ndio tumaini la watanzania weng maskini, mbinu yenu ya watu wawachague nyie kwasababu wanaichukia CCM haitawapeleka magogoni, I have respect for movment mnazofanya now Tanzania nzima kama vijijini, lakini kwa mwanasiasa mahiri anajua kwamba 2015 ni mwaka wa watendaji na sio waongeaji tena kama 2005.

  Mnatakiwa muuanze kusolve matatizo yanayowakabili watanzania, kwa mfano, walimu wamegoma juzi what did you guys do? bila shaka mtasema mlitoa tamko, but that not enough now walimu wanawachukia CCM lakini hamjawapa sababu ya kutosha ya kuwapenda nyie. Mngeenda kukaa na walimu whem wamegoma kuwaconvice warudi ofisini and nyie mnawawakilisha mahakamani ata kama wakishindwa tayari mmeshawacapture, also mmechukua na wazazi wa wanafunzi waliokuwa wanakosa masomo kwa sababu ya mgomo.

  CCM ina make a lot of mistake but haitakuwa forever, msipotumia izi nafasi vizur then nyie sio wazuri enough kuongoza this country

  La mwisho for now muwacontrol vijana wenu, kwa mfano namuunga mkono mh mnyika kusema raisi ni dhaifu ila hofu yangu kubwa ni kuwa je ni kweli mnyika alipanga kusema yale au yalikuja tu wakati wanaongea. Kwa sababu bila mipango mmeshindwa kusimamia that point now imeshaenda ukirudisha utaonekana unabwabwaja. U think why sera yenu ya ufisadi ilifanikiwa? Because mlijipanga and u pushed it kila siku.
   
 2. T

  Tewe JF-Expert Member

  #2
  Aug 12, 2012
  Joined: Jan 11, 2008
  Messages: 744
  Likes Received: 183
  Trophy Points: 60
  Mkubwa! Sikuelewi kusema mnyika hakumaanisha alichokisema. Kama "yalikuja tu" kwanini hakufuta usemi wake hadi katolewa nje?
   
 3. BONGOLALA

  BONGOLALA JF-Expert Member

  #3
  Aug 12, 2012
  Joined: Sep 14, 2009
  Messages: 13,785
  Likes Received: 2,397
  Trophy Points: 280
  Mkuu kila jambo siku hizi govt inakimbilia mahakamani,hivyo kuziba midomo wananchi!pia chadema ikiingilia watasema walimu wametumwa kisiasa!cha muhimu tuiondoe serikali madarakani
   
 4. S

  Salary Slip JF-Expert Member

  #4
  Aug 12, 2012
  Joined: Apr 3, 2012
  Messages: 25,015
  Likes Received: 37,743
  Trophy Points: 280
  Wewe ni ccm na umetumwa. Acha kutuhadaa!
   
 5. a

  apprux Member

  #5
  Aug 12, 2012
  Joined: Mar 22, 2012
  Messages: 30
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  You have a right kufikiria unavyotaka but i am hoping someone will notice the wise in it
   
 6. c

  chama JF-Expert Member

  #6
  Aug 12, 2012
  Joined: Aug 6, 2010
  Messages: 8,006
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Acha kutuzuga mwanachadema ulichofanya umebadili ID

  Chama
  Gongo la mboto DSM
   
 7. a

  apprux Member

  #7
  Aug 12, 2012
  Joined: Mar 22, 2012
  Messages: 30
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Na wao wana mbinu zao but sio excuse ya sisi kushindwa kwasababu tunawakilisha matumaini ya wengi....ukweli ni kwamba siku chadema ikifa wengi hawatakuwa sawa
   
 8. t

  tubadilike-sasa JF-Expert Member

  #8
  Aug 12, 2012
  Joined: Jan 31, 2012
  Messages: 677
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  Mbona mawazo yako yametapakaa kila mahala?Nashindwa kukuelewa. Hebu pangilia mawazo yako vizuri halafu kama unataka kuwashauri CDM uwashauri. Maana naona unaandika kama vile una stress au umechanganyikiwa
   
 9. M

  MTK JF-Expert Member

  #9
  Aug 12, 2012
  Joined: Apr 19, 2012
  Messages: 6,960
  Likes Received: 2,837
  Trophy Points: 280
  Hoja yako ina wingu la ukungu inakuwa vigumu kukuelewa anataka kuishauri nini CDM!! lakini kwa kifupi ni kwamba serikali ndio muajiri wa walimu na hapo sio swala la CDM kuwafuata kuwafundisha wafanye nini bali CDM inachofanya very effectively hadi sasa ni kuwapa mwamko walimu na wananchi wengine wote waamuke wayaone maovu yanayofanywa na serikali ya CCM dhidi yao na kisha wachukue hatua za makusudi kujikomboa,

  Watumishi wa Mungu huwa wanafanya kazi ya kutufundisha uzuri wa kumfuata Yesu kristu na ubaya wa njia za shetani; kazi ya kuamua njia ya kufuata ni mtu mwenyewe kwa utashi wako!

  Kumbuka unaweza kumpeleka ng'ombe mtoni lakini huwezi kamwe kumlazimisha ayanywe maji!!

  kama walimu hawajiona njia ya kuelekea nchi ya ahadi CDM haina la kufanya bali kuendelea kuwahamasisha wale wote ambao wako tayari na wanayaona maisha katika mwanga mpya. Hatua ya kujikomboa ni jitihada zako binafsi kwa kuchukua inspiration kutoka kwa wenzako, sio swala la kuburuzwa ama kurubuniwa.
   
 10. Lukansola

  Lukansola JF-Expert Member

  #10
  Aug 12, 2012
  Joined: Sep 5, 2010
  Messages: 5,456
  Likes Received: 75
  Trophy Points: 145

  aaaah jamani, umemuonaje kama ana stress? sema unahisi. afu wewe unasomeka more stressed kuliko yeye, unamgombeza mwenzio badala ya 'kumuelewesha'.
   
 11. Wi-Fi

  Wi-Fi JF-Expert Member

  #11
  Aug 12, 2012
  Joined: Aug 30, 2011
  Messages: 2,070
  Likes Received: 748
  Trophy Points: 280
  "Hata ukilia, viboko bado"
   
 12. ngalelefijo

  ngalelefijo JF-Expert Member

  #12
  Aug 12, 2012
  Joined: Jun 26, 2012
  Messages: 1,802
  Likes Received: 761
  Trophy Points: 280
  Changamoto waliyonayo walimu ni kujinasua kutoka katika ukiritimba wa fikra kwamba ccm itawatawala katika utandawazi huu kana kwamba wao wenyewe hawana vichwa au vichwa vyao vimechukua likizo ya muda mrefu ktk akili zao.Waamke na waone makundi yote yana haja ya kuungana kwa pamoja na kuleta mabadiliko ya kweli.Na ni chama kikuu tu cha upinzani kinachoweza kufanya hivyo milele na si vinginevyo.M4C.Ukibisha mchawi
   
 13. n

  nyabhera JF-Expert Member

  #13
  Aug 12, 2012
  Joined: Nov 25, 2011
  Messages: 426
  Likes Received: 182
  Trophy Points: 60
  dhaify
   
Loading...