ze greti kanumb vs startimes

yaser

JF-Expert Member
Jan 23, 2012
1,361
299
wadau cjajua vizuri hapo sheria za mikataba(law of contracts) kwa mtu ambaye ameshakufa ila bado naona startimes wanatumia picha zake ktk matangazo yao.mfano ktk ofisi zao pale bamaga bado kuna yale mabango ya ze greti akiuza sura.
Ameshavuta ila bado wanauuzisha sura vp ni haki?
 
wadau cjajua vizuri hapo sheria za mikataba(law of contracts) kwa mtu ambaye ameshakufa ila bado naona startimes wanatumia picha zake ktk matangazo yao.?

Kwa hiyo mkataba wa Kanumba na startimes ulikuwa una define muda wa mkataba ni kifo cha Kanumba?
 
nmeuliza kaka na hayakua maelezo ktk sentensi zangu.na ndio maana mwisho kuna alama ya kuuliza.so km hujui n heri unyamaze tu kuliko kurefusha mjadala usio na manufaa.
 
Hiyo alama ya kuuliza umeiweka wapi? Kama hiyo inayoonekana kwenye quote yangu umepotea. Hata kama ni swali bado linaonesha kama ulikuwa unataka kulalamikia matumizi ya picha za matangazo za Kanumba kana kwamba unajua ni vigezo gani vinavyotumika kuonesha ukomo wa matumizi yake.
 
nenda ktk thread utaona imeandikwa ''ni haki?''
 
Back
Top Bottom