Ni majonzi: Mamia wajitokeza kuaga mwili wa askari aliyejinyonga moro | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ni majonzi: Mamia wajitokeza kuaga mwili wa askari aliyejinyonga moro

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by nngu007, Aug 10, 2012.

 1. nngu007

  nngu007 JF-Expert Member

  #1
  Aug 10, 2012
  Joined: Aug 2, 2010
  Messages: 15,871
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 145
  [h=3][/h]

  [​IMG]
  Mtoto Consolatha Donald (7) akiaga mwili wa marehemu baba yake huku akiwa mikononi mwa mama yake mzazi Diana.
  [​IMG]
  Mwanasheria Aman Mwaipaja ambaye alijitolea kumtetea bure marehemu Dunga kwenye mgogoro wake na baadhi ya polisi wenzake aliwashutumu kushirikiana na majambazi, akitoa heshima zake za mwisho kwa marehemu Dunga.  [​IMG]
  [h=1]Mjane Diana akiangua kilio baada ya kutoa heshima za mwisho mbele ya mwili wa aliyekuwa mume wake Afande Donald Mathew[/h][​IMG]
  Mchungaji akiongoza ibada ya mazishi
  [​IMG]

  Mwandishi wa Gazeti la Mwananchi Hamida Shariff akimpa pole mke wa marehemu Diana
  [​IMG]  Danstan Shekidele, Morogoro yetu
  [h=1]Mamia wajitokeza jioni hii kuaga mwili wa askari Donald Mathew Dunga aliyefariki baada ya kujinyonga juzi kwenye daraja la shani mjini Morogoro.[/h][h=6]Mwili wa askari huyo umeagwa jioni hii katika jioni hii kwenye chumba cha kuhifadhia maiti cha hospital ya Mkoa wa Morogoro baada ya Mwili wake kufanyiwa uchunguz kwa zadi ya maaa 48.

  Baada ya ibada fupi iliyofanyika kwenye hospitalini hapo kukamilika, wananchi waliofulika eneo hilo walipata fursa ya kutoa heshima zao za mwisho kwa marehemu na kabla ya safari ya kusafirisha mwili wa marehemu kueleka Moshi haijaanza.

  Miongoni mwa watu walishiriki kwenye tukio hilo ni pamoja na viongozi wa jeshi la polisi, walioratibu kila kitu ikiwemo kutoa gari la kusafirishwamwili, waandishi wa habari, ndugu na jamaa wa marehemu.
  [/h][h=6]Blogzamikoa[/h][h=6]www.blogszamikoa.blogspot.com [/h]
   
 2. nngu007

  nngu007 JF-Expert Member

  #2
  Aug 10, 2012
  Joined: Aug 2, 2010
  Messages: 15,871
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 145
  Alikuwa kijana kweli... RIP... Nchi yetu inatamani MALI kuliko UHAI wa Mwanadamu
   
 3. Ukwaju

  Ukwaju JF Bronze Member

  #3
  Aug 10, 2012
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 8,287
  Likes Received: 810
  Trophy Points: 280
  sawa alikuwa kijana mzuri hebu zimwage hizo picha hapa maana Thread yako ni skeleton ijaze nyama (PICHA hizo) hata km ziko Blog za Mikoani tuletee
  Haya nimezipata na ufafanuzi waki ndio huo km unavyonekana na nngu007
   

  Attached Files:

 4. sembuli

  sembuli JF-Expert Member

  #4
  Aug 10, 2012
  Joined: Feb 3, 2012
  Messages: 762
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 45
  ungefanya jitihada ukatuwekea namba ya mjane wa marehemu kwa ajili ya atakae guswa kumtumia michango kidogo kwa ajili ya mtoto. i feel so sorry mtoto kaacha mdogo sana
   
 5. nngu007

  nngu007 JF-Expert Member

  #5
  Aug 10, 2012
  Joined: Aug 2, 2010
  Messages: 15,871
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 145
  Sijakuelewa
   
 6. BHULULU

  BHULULU JF-Expert Member

  #6
  Aug 10, 2012
  Joined: Jun 28, 2012
  Messages: 4,911
  Likes Received: 122
  Trophy Points: 160
  Kwa kweli inasikitisha,pumzika kwa amani mpiganaji,Wafiwa Mungu awape uvumilivu
   
 7. Tram Almasi

  Tram Almasi JF-Expert Member

  #7
  Aug 10, 2012
  Joined: Feb 26, 2009
  Messages: 755
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Mkuu inasikitisha sana kuona watoto wanaingia katika maisha bila baba wakiwa bado wadogo. Mungu ampe nguvu mjane ya kukabiliana na maisha haya mapya, watoto wapate nguvu ya kuishi bila baba na marehemu R.I.P. Bro!
   
 8. Ukwaju

  Ukwaju JF Bronze Member

  #8
  Aug 11, 2012
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 8,287
  Likes Received: 810
  Trophy Points: 280
  Sorry nngu007 huenda kulikuwa na matatizo ya mtandao kwani mwanzo kulikuwa hakuna picha, na ndio maana nikakueleza
  Haya nimezipata na ufafanuzi waki ndio huo km unavyonekana na nngu007 na zilipishana kwa muda wa dk 11 tu
   
 9. Gama

  Gama JF-Expert Member

  #9
  Aug 11, 2012
  Joined: Jan 9, 2010
  Messages: 9,224
  Likes Received: 1,411
  Trophy Points: 280
  Hali hii inatisha sana, sijui who is next. Lakini awamu hii ya utawala ijiangalie sana.
   
 10. nngu007

  nngu007 JF-Expert Member

  #10
  Aug 11, 2012
  Joined: Aug 2, 2010
  Messages: 15,871
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 145
  oh ok...
   
 11. M

  MERCYCITY JF-Expert Member

  #11
  Aug 11, 2012
  Joined: Jan 25, 2012
  Messages: 348
  Likes Received: 197
  Trophy Points: 60
  Kama kuna mkono wa mtu katika kifo hiki ajue yeye na famila yake imelaanika. machozi ya mjane na mtoto hayatakuwa ya bure. Wenye haki wanauawa lakini Mungu wa mbinguni hataacha kulipiza kisasi. Mkifurahi mkidhani mmeshinda hamtaweza kumshinda Mungu wa mbinguni ambaye anazo roho zenu.
   
 12. Mpatanishi

  Mpatanishi JF-Expert Member

  #12
  Aug 12, 2012
  Joined: Jul 1, 2011
  Messages: 1,709
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  dah so sad. Vp afande msangi alikuwepo?
   
 13. mwaxxxx

  mwaxxxx JF-Expert Member

  #13
  Aug 12, 2012
  Joined: Jul 1, 2012
  Messages: 846
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  kifo chake kitaibua mengi
   
 14. U

  Ubungo JF-Expert Member

  #14
  Aug 12, 2012
  Joined: Apr 7, 2012
  Messages: 1,239
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Poleni wafiwa
   
 15. kupe

  kupe JF-Expert Member

  #15
  Aug 12, 2012
  Joined: Jul 26, 2012
  Messages: 1,025
  Likes Received: 93
  Trophy Points: 145
  mtume MUHAMAD SAW aliwafundisha binadamu. aliwaambia usipende kujiweka kimbelembele . SASA MATOKEO YAKE NDIO HAYO AMEACHA MJANE NA WATOTO . wenzake wanaendelea kula . na wataendelea kula na kula
   
 16. Philipo Kidwanga

  Philipo Kidwanga Verified User

  #16
  Aug 13, 2012
  Joined: Jul 12, 2012
  Messages: 2,063
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  kifo kingine kibaya kinachoelezea uchafu ambao nchi yetu imeufikia,kwa sasa huwezi kuwa mwema ukaishi kwa amani aidha wakuue au wakusumbue sana lakini yanamwisho haya.
   
Loading...