picha za ulimboka zipo

tz1

JF-Expert Member
Mar 19, 2011
2,121
534
Kwenye blog ya michuzi jamaa anaonekana yuko fit.big up.
 
Ziko wapi hapa?
Si ungechagia hukohuko kwa michuzi kama huwezi kuleta picha hapa??
 
Kwenye blog ya michuzi jamaa anaonekana yuko fit.big up.

hata sisi tunaifahamu iyo blog...kama hukuweza kuweka picha hapa ulikua na haja gani kuja na vijineno hapa?...
 
Hakuna picha huko iko ile ile mpja tu, huyu jamaa kilaza au anatangaza watu wa visit hiyo blog
 
Back
Top Bottom