hawa vodacom vipi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

hawa vodacom vipi

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by chief72, Aug 12, 2012.

 1. c

  chief72 JF-Expert Member

  #1
  Aug 12, 2012
  Joined: Oct 6, 2011
  Messages: 563
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  jamani leo ni siku ya tano mtandao wa voda hauna network,hapa makambako ukipiga number is busy,afu wameuchuna hata taarifa yoyote kmya
   
 2. beibe nasty

  beibe nasty JF-Expert Member

  #2
  Aug 12, 2012
  Joined: Apr 11, 2012
  Messages: 1,648
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  wananikera ka nin nawachukia
   
 3. Judgement

  Judgement JF-Expert Member

  #3
  Aug 12, 2012
  Joined: Nov 13, 2011
  Messages: 10,361
  Likes Received: 63
  Trophy Points: 145
  My wife wajua mi najiskia vibayaje nikiona umechukia?
  Yaani hadi natamani nikuanzishie kampuni yako! Au niku'access na mikampuni ya nje ya nchi !
  Amini usiamini hapa nshajaa povu! On you're behalf .
   
 4. beibe nasty

  beibe nasty JF-Expert Member

  #4
  Aug 13, 2012
  Joined: Apr 11, 2012
  Messages: 1,648
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Hubby my father inlaw si alikuambia amekuachia ile kampuni ya naniliu kama vipi tuibadilishe then tuanzishe mtandao wetu pliiiz mi hawa wankera mnooo hakuna uafadhali si kwenye kibajaji,wala kwenye mgongo wa chura wala kwenye basi kubwa hali moja
   
Loading...