M4C yaisambaratisha CCM JF!

Marire

JF-Expert Member
May 1, 2012
12,326
5,264
Nimekuwa na muda mzuri sana toka juzi jana na leo hii nimekuwa napitia post mbalimbali humu jf za siasa na nilichogundua zaidi ya ritz hamna mwana ccm anayeweza kuhimili huo moto wa gas m4c unaowaka hapa.na kama yupo na ajitokeze.hakika nguvu ya umma ni nguvu ya Mungu!
 
wao wanatumia pesa sisi tuna Mungu.pesa sikiisha ndo mwisho wao lakini Mungu fadhili zake za dumu mile na mile
 
Wataonekana wapi ndugu yangu??? The end is about to come, just wait!!! ccm is no more!!!!
 
Nimekuwa na muda mzuri sana toka juzi jana na leo hii nimekuwa napitia post mbalimbali humu jf za siasa na nilichogundua zaidi ya ritz hamna mwana ccm anayeweza kuhimili huo moto wa gas m4c unaowaka hapa.na kama yupo na ajitokeze.hakika nguvu ya umma ni nguvu ya Mungu!

Wametokota wote.....mwajiri wao naye katokota leo alikuwa anajipanga leo kaenda front suti nini kumbea anaenda kuongea majungu na story za kwenye gahawa.naona viatu vya tambwe hiza vimemtosha.
 
Kwa ni lazima kuchangia? hata kusoma tu inatosha na hasa ukigundua waliotoa thread na mapro CDM unasepa ya nini kutafuta BAN maana Mods walivyokaa du km una hamu ingia hapa
https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/306746-chadema-wanataka-kuuza-nchi.html
au hapa na sio lazima uchangia hoja zako
https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/306712-nape-azungumzia-harambee-ya-chadema-3.html
hapo ujue watu humu ndani wamejaa na wanaperuzi mengine sio kila saa Siasa
nakushauri subiri 2015 tutachangia kwani vipo vyama vingi
na sio lazima CDM kama bado huamini malizia na hii kwani zote humu JF sio za CDM

https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...-cdm-anunuliwa-na-ccm-aanza-kuhujumu-cdm.html
 
Akili za mwanachama/mpenzi/mshabiki mmoja wa CHADEMA hapa JF ni sawa na akili za wanachama/wapenzi/washabiki wa MAGAMBA kama 500 hapa JF...
 
Kwa ni lazima kuchangia? hata kusoma tu inatosha na hasa ukigundua waliotoa thread na mapro CDM unasepa ya nini kutafuta BAN maana Mods walivyokaa du km una hamu ingia hapa
https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/306746-chadema-wanataka-kuuza-nchi.html
au hapa na sio lazima uchangia hoja zako
https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/306712-nape-azungumzia-harambee-ya-chadema-3.html
hapo ujue watu humu ndani wamejaa na wanaperuzi mengine sio kila saa Siasa
nakushauri subiri 2015 tutachangia kwani vipo vyama vingi
na sio lazima CDM kama bado huamini malizia na hii kwani zote humu JF sio za CDM

https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...-cdm-anunuliwa-na-ccm-aanza-kuhujumu-cdm.html

Kama mwandiko wa kwenye keybody ni huu,je wa kuandika na kalamu utakuwaje?
 
Kwa ni lazima kuchangia? hata kusoma tu inatosha na hasa ukigundua waliotoa thread na mapro CDM unasepa ya nini kutafuta BAN maana Mods walivyokaa du km una hamu ingia hapa
https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/306746-chadema-wanataka-kuuza-nchi.html
au hapa na sio lazima uchangia hoja zako
https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/306712-nape-azungumzia-harambee-ya-chadema-3.html
hapo ujue watu humu ndani wamejaa na wanaperuzi mengine sio kila saa Siasa
nakushauri subiri 2015 tutachangia kwani vipo vyama vingi
na sio lazima CDM

kwanini utafute BAN mkuu angali hapa magreat thinkers tunaandika kwa kutumia nguvu za hoja? kiukweli kabisa kwa kukusaidia mkuu, nyinyiemi haiuziki hata kidogo! wametuibia vya kutosha, fanya hima njoo cdm tuendeleze ukombozi bado haujachelewa.
 
Nimekuwa na muda mzuri sana toka juzi jana na leo hii nimekuwa napitia post mbalimbali humu jf za siasa na nilichogundua zaidi ya ritz hamna mwana ccm anayeweza kuhimili huo moto wa gas m4c unaowaka hapa.na kama yupo na ajitokeze.hakika nguvu ya umma ni nguvu ya Mungu!
Mkuu mimi nipo
 
Usishangae ni Posho ilichelewa kutoka hivyo mgomo baridi ukaanza, na madai ya nyongeza ya posho kwa siku yakaibuliwa upya.

Mpango wa sasa ni kutokufanya kazi mwisho wa wiki na baada ya saa kumi jioni ama posho iongezwe.

Mkakati wa chama ni malipo kwa kila thread utakayoianzisha mpango huo inapingwa na wengi humu.

Huwa mara nyingi wanakutana pale Lumumba mambo yakinuka tu
 
UKWAJU acha kujidanganya hamna aliyebaki ccm hao hao wanaosoma wakiwamo mawaziri,wabunge wa ccm wanavutiwa na chadema na kama unabisha ngoja 2015 .kama wewe ni mwanasiasa unatakiwa upime upepo unakoelekea.be a great thinker
 
2015 patajaa vilio humu JF,nyie jisifieni na m4c yenu. Kipigo cha mbwa mwizi mtakiona.safari hii hamfiki hata kumi huko mjengoni.
 
Bado mchanga kwenye Siasa Huyo Zitto na Shibuda wapo kwenye hiyo M4C ndio maana nimekuambia ingia hizo thread uone hata huko MUSOMA alikotokea Chacha Wangwe CDM wanakorofishana kazi ndogo kwa nini usibofye hiyo link
https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...-cdm-anunuliwa-na-ccm-aanza-kuhujumu-cdm.html
maana yangu mambo ya Siasa watu wanakaa pembeni kuna thread muhimu km Mobile User kuliko kila saa Siasa na wachangiaji wake ni hawa wapiga Brush viatu maana mitandao ya simu wanafungua kila saa JF muda wa kuwasukuma kina MTIKILA na MREMA ulishapitwa na wakati subiri 2015
 
CCM watajaribu kusambaritisha CHADEMA kwa kupandiza MAMLUKI Lakini moto uliowashwa DAR na kurushwa na STAR TV LIVE kamwe hautazimika sawa na JEHANAMU
 
kwanini utafute BAN mkuu angali hapa magreat thinkers tunaandika kwa kutumia nguvu za hoja? kiukweli kabisa kwa kukusaidia mkuu, nyinyiemi haiuziki hata kidogo! wametuibia vya kutosha, fanya hima njoo cdm tuendeleze ukombozi bado haujachelewa.
Mbona kuna thread nimewawekea hamtaki tukutane huko mnang'ang'ania hizi za CDM kwani hakuna THREAD HUKU ZINAMINYWA km hazina maslahi na CDM?
 
Nimekuwa na muda mzuri sana toka juzi jana na leo hii nimekuwa napitia post mbalimbali humu jf za siasa na nilichogundua zaidi ya ritz hamna mwana ccm anayeweza kuhimili huo moto wa gas m4c unaowaka hapa.na kama yupo na ajitokeze.hakika nguvu ya umma ni nguvu ya Mungu!

Kwani mkuu hii ni account yako ya kumi na ngapi?
 
Aibu tupu hawana pakuangalia nguvu ya umma inachukua nafasi yake hata wafanyaje watz washafumbuka macho peopleeees
 
Kwani mkuu hii ni account yako ya kumi na ngapi?
mimi marire nina ID moja tu mimi ni mwanachama wa kawaida tu sina pesa wala si kiongozi wala si mtu maarufu na wala silipwi ila ninaipenda tz na cdm.tena natumia kanokia.
 
2015 patajaa vilio humu JF,nyie jisifieni na m4c yenu. Kipigo cha mbwa mwizi mtakiona.safari hii hamfiki hata kumi huko mjengoni.
unahabari ulimboka karudi sasa jiandaeni tena kukaa utupu huku mmechutama,na mtaogea lugha zote
 
Back
Top Bottom