Ya Utoh hanayana tofauti na ya hosea..

ngoshwe

JF-Expert Member
Joined
Mar 31, 2009
Messages
4,142
Points
1,250

ngoshwe

JF-Expert Member
Joined Mar 31, 2009
4,142 1,250
By virtue of the provisions of Article 143 of the Constitution of the United Republic of Tanzania of 1977 (revised 2000), and section 30 (1) of the Public Finance Act No. 6 of 2001 (revised 2004), the Controller and Auditor General is the appointed statutory auditor of revenue and expenditure of all ministries, departments of the government, public authorities and other bodies or authorities which receives funds from the Consolidated Fund.


He is in addition required under section 33 of the PFA 2001 (revised 2004) to carry out Performance Audit and report to the Parliament on the economy, efficiency and effectiveness in the use of public money and other resources. Under section 34 of the PFA 2001 (revised 2004) the CAG is required to advise the Government (SOURCE:National Audit Office of United Republic of Tanzania).


LAKINI:

kATIKA SAKATA LA DAVID JAIRO TUMESHUHUDIA JINSI GANI BW. UTOH ALIVYOIZAMISHA TAALUMA KWENYE DIMBWI LA SIASA KWA KUANDAA TAARIFA ALIYOTUMWA NA SERIKALI (MTEJA) LAKINI AWALI ALIDAI KUWA YEYE HAUSIKI KUISEMEA, LAKINI BAADAE KUONEKANA HADHARANI AKIWA NA KATIBU MKUU KIONGOZI AKIITETEA KWA NGUVU TAARIFA HIVYO MBELE YA VYOMBO VYA HABARI...HAYA YANAFANANA NA YALE YA HOSEA KWENYE SAKATA LA RICHMOND NA UMEME WA DHARURA..JAPO KISHERIA OFISI HIZI ZINAPASWA KUWA HURU LAKINI KIUTENDAJI ZIMEKOSA VIONGOZI MAKINI..HILI ALILOFANYA LUDOVICK  KWENYE UCHUNGUZI WA HOJA YA BUNGE KUHUSU JAIRO; UTOH LIMELETA SHAKA YA KUTUFANYA TUWE NA WALAKINI HATA KWENYE TAARIFA NYINGINE ZA CAG...UTOH ATAJIOFICHA WAPI IWAPO KAMATI YA BUNGE ITABAINI KULIKUWA NA MADUDU KWENYE MPANGO MZIMA WA KUPITISHA BAJETI YA WIZARA YA NISHATI?....AU NAE ATAOMBA NA ALINDWE KAMA LUHANJO ALIVYOTAKA KUMLINDA JAIRO ??
 

Penguine

JF-Expert Member
Joined
Nov 29, 2009
Messages
1,292
Points
1,500

Penguine

JF-Expert Member
Joined Nov 29, 2009
1,292 1,500
Nafikiri ujasiri wa Utouh, the CAG, unatokana na Hadidu za Rejea alizokuwa amepewa. Hatutakiwi kumlaumu kabla hatujaziona hizo Hadidu., Mwendo wetu uwe ni kwenda hadidu moja baada ya nyingine nakubaini mapungufu na kisha kutoa mapendekezo yetu. Ninayohofu kwamba hadidu za rejea alizopewa zilikuwa zinakidhi haja ya kuthibitisha majibu ambayo tayari CS alikuwa nayo
 

Forum statistics

Threads 1,353,352
Members 518,297
Posts 33,076,207
Top