Mkuu wa wilaya matatani kwa fedha za sensa

Mr.kibulala

Member
Nov 8, 2011
58
20
Wanajf,

mda huu vurugu kbwa ktk wilaya ya Missenyi baada ya makarani wa sensa kudai kupokonywa malipo yao na DC...

Ni mawe mtindo mmoja
 
Tutaona mengi kwenye sensa kwani wapo waliotega kudhulumu wenzao na wengine wamejiandaa kula hela za sensa kwani ziko loose
 
Wanajf,

mda huu vurugu kbwa ktk wilaya ya Missenyi baada ya makarani wa sensa kudai kupokonywa malipo yao na DC...

Ni mawe mtindo mmoja

...Hivi vichwa vyenu vya habari viacheni huko huko kwenye magazeti ya Udaku jamani! Sasa hapa Mkuu wa Wilaya anahusikaje? Mbona taarifa yako haimtaji kuwa amehusikaje? amezziba akakimbia nazo? Msiweke tu uzi ilimradi uonekane umeweka uzi...!!!
 
Kama hujui uliza .Kwa tarifa yako,mkuu wa Wilaya ndiye mwenyekiti wa SENSA wa Wilaya.Ana uwezo wa kuchakachua kwa kuongeza idadi ya watt hewa
 
Hata sisi huku DSM Wilaya ya TEMEKE kata za VITUKA ,POLISI waliamua kupiga rizasi ili watu waondoke kituoni baada ya kuchelewa kuleta pesa{ jana ndo ulikuwa mwisho wa semina} jioni saa kumi na moja jioni.Baada ya kugawa kwa watu wachache wa herufi A na B Wakasema hakuna usalama hivyo tutaendelea kesho.Wanasemina{ makarani wa sensa} wakauliza,kama mlijua mmechelewa kwa nini hamkuja na Askari wa kutosha ili muwe na ulinzi Imara?na mmewaweka watu tangu asubuhi? MAKARANI WA SENSA wakaomba walipwe.Ndo askari wawili waliokuwepo wakapiga risasi kutawanya watu.Hii ndo serikali Dhaifu.Tunaomba waandishi wa habari mje kwenye Viwanja vya Saba saba Muone hilo Zogo la leo
 
DHAIFU DHAIFU DHAIFU EVERYWHERE. HII SERIKALI INAWEZA NN KWA WANANCHI WAKE?

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
Back
Top Bottom