Halmashauri ya Ilala!

security guard

JF-Expert Member
Sep 27, 2011
799
603
Leo nimeshuhudia uozo wa kijinga sana unao uhusu Halmashauri ya Ilala, pale buguruni nimeshuhudia watoza ushuru wakikusanya ushuru kwa wafanyabiashara wadogo wadogo tena ambao wapo eneo si la biashara,pili ni saa tatu usiku! jamani halmashauri mnafanya kazi mpaka usiku???? je lini mmeanza kwalipisha ushuru wakati ulisimamishwa??? Slaa naomba majibu na watu wako.
 
Back
Top Bottom