Fire waambulia matusi mbz beach | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Fire waambulia matusi mbz beach

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by IsangulaKG, Aug 18, 2012.

 1. IsangulaKG

  IsangulaKG Verified User

  #1
  Aug 18, 2012
  Joined: Oct 14, 2010
  Messages: 702
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 45
  Nipo hapa maeneo ya Mbezi Beach jirani na Baraza la Mitihani, kuna nyumba ya bibi mmoja imeungua, wananchi kwa bidii zao kwa kutumia vifaa kama ndoo, mabeseni na vyovyote vile vilivoonekana vinafaa hadi wameweza kuzima moto japo mali nyingi zimeteketea. Fire department imefika baada kama ya saa nzima......wameambulia matusi toka kwa wananchi, almanusura wapondwe mawe.

  Hii inadhihirisha kuwa watunga sera na mifumo ya kudhibiti majanga hawajaweza kuweka mipango sahihi kukabiliana na majanga ya aina hii...
   
 2. Z

  ZeMarcopolo JF-Expert Member

  #2
  Aug 18, 2012
  Joined: May 11, 2008
  Messages: 13,589
  Likes Received: 480
  Trophy Points: 180
  sasa hii imeingia kwenye jukwaa la siasa?
   
 3. masopakyindi

  masopakyindi JF-Expert Member

  #3
  Aug 18, 2012
  Joined: Jul 5, 2011
  Messages: 13,909
  Likes Received: 2,336
  Trophy Points: 280
  Mkuu hao fire wamepita njia ipi, mbona mimi sijawaona na nilikuwa sehemu hizo?
  Ile njia ya kupanda huk nasikia inatunzwa na jamaa mmoja, una mfahamu?
   
 4. Sabry001

  Sabry001 JF-Expert Member

  #4
  Aug 18, 2012
  Joined: Jun 28, 2011
  Messages: 1,064
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135
  Ila in real sense hata wakichelewa ni sawa cuz dar folen na hakunaga emergency roads sa wao wapae?
   
 5. IsangulaKG

  IsangulaKG Verified User

  #5
  Aug 18, 2012
  Joined: Oct 14, 2010
  Messages: 702
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 45
  Sera na mipango siyo siasa? Au unadhani siasa ni uchaguzi tu?
   
 6. Z

  ZeMarcopolo JF-Expert Member

  #6
  Aug 18, 2012
  Joined: May 11, 2008
  Messages: 13,589
  Likes Received: 480
  Trophy Points: 180

  Wabongo tunapenda sana siasa!
   
 7. M

  Mokerema JF-Expert Member

  #7
  Aug 18, 2012
  Joined: Nov 14, 2011
  Messages: 236
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Watanzania
  Acheni uvivu wa kufikiri ile fire station was designed for 40,000 inhabitants Leo hii Dar has expanded 100 times and you fools think of the same station. The fire tender can't serve half of the CBD and even the fire Hydrants are dry. Kuna haja ya Kawambwa kuanzisha Somo la Fire fighting kwenye mitaala ya Shule. Mji unakua with Skyscraper but nobody is thinking of fire fighting. Kutoka pale fire has Mbezi is almost 20 Km na barabara zimewekwa matuta ya viazi in the name of speed humps. And there is no water that means the fire truck has to carry water all the way. It's only by miracle if they arrive and attend or extinguish any fire so it's bazaar???

  Itafika mahali those three to four trucks won't be able to move apart from fetching water for their bosses. Nimeishiwa maneno I don't what I can advise you. Actually all Tanzanian towns might all burn out as no fire fighting is functional just on scratching your heads.
   
 8. IsangulaKG

  IsangulaKG Verified User

  #8
  Aug 19, 2012
  Joined: Oct 14, 2010
  Messages: 702
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 45
  Umenena vema mkuu lakini ninachojua hasa kwa wenzetu wana mini fire stations nyingi sana ktk almost kila sehemu. Haya mafunzo ya basic fire fighting ni mazuri but hayatakuwa na tija iwapo vifaa na nyenzo muhimu kv. Maji, mchanga, mitungi ya CO2 haipo.   
 9. U

  Ubungo JF-Expert Member

  #9
  Aug 19, 2012
  Joined: Apr 7, 2012
  Messages: 1,239
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Watanzania hatuna utamaduni wa kujihami na majanga ya moto. Nyumba nyungi za kuishi hazina fire extinguisers ingawa zimejengwa kwa gharama kubwa moto ukianza utatishia usalama wa mali na uhai wa wahusika. Kutegemea kikosi cha zimamoto pekee ni kujidanganya kwa kuwa kuna factirs nyingi zinapunguza ufanisi wa kikosi hiki. Kuzuia ni bora kuliko kuponya.
   
 10. M

  Mmwaminifu JF-Expert Member

  #10
  Aug 19, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 1,096
  Likes Received: 66
  Trophy Points: 145
  Who are these wavivu wa kufikiri and fools are you refering to? Those who saw the city expand and didn't upgrade the fire and rescue team, or those who called for assistance from the zimamoto kikosi?
   
Loading...