Risasi za moto zawatawanya makarani wa sensa Yombo Vituka | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Risasi za moto zawatawanya makarani wa sensa Yombo Vituka

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by kinya, Aug 18, 2012.

 1. kinya

  kinya JF-Expert Member

  #1
  Aug 18, 2012
  Joined: Feb 20, 2009
  Messages: 483
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 35
  Wanasemina waliokuwa wanapata mafunzo ya jinsi ya kuhesabu watu(sensa) dodoso fupi wamejikuta wakilmishwa kuondoka kwenye eneo la semina Vituka primary kwa kutishwa na risasi za moto kwa kile walizi wa posho zao walicho kisema kuwa wanataarifa za kiitelijensia za mpango wa kuuvamiwa na hivyo kuamua kuahirisha zoezi la ugawaji posho zao mara baada ya kusubiri posho hiyo kwa zaidi ya saa sita.
  Baada ya kuonekana hawaondoki polisi alitishia kuwapiga risasi za moto kuwatisha ,hali iliyo ibua sintofahaohamu

  SOURCE MIMI MWENYEWE
   
 2. BHULULU

  BHULULU JF-Expert Member

  #2
  Aug 18, 2012
  Joined: Jun 28, 2012
  Messages: 4,911
  Likes Received: 122
  Trophy Points: 160
  Ahsante kwa taarifa,ila uwe una-edit post kabla ya kuweka.
   
 3. U

  Ubungo JF-Expert Member

  #3
  Aug 18, 2012
  Joined: Apr 7, 2012
  Messages: 1,239
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Poleni sana, usalama ni kitu muhimu.
   
 4. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #4
  Aug 18, 2012
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,303
  Likes Received: 22,105
  Trophy Points: 280
  Gilbert Katata 'Simpo' umesalimika kweli?
   
 5. m

  markj JF-Expert Member

  #5
  Aug 18, 2012
  Joined: Jul 6, 2012
  Messages: 1,756
  Likes Received: 364
  Trophy Points: 180
  jamani kama mnaona sensa inalongolongo si muachane nayo! mana hawa watu wanataka kuwafnyisha kazi bila kuwalipa aisee! wanata kuzila pesa zote wao, kinachobaki hivyo vyote ni visingizio tu, mana hii kitu imetokea sehemu mbalimbali wanasensa kutotendewa haki, mwishoe mtatiwa vilema vya bure tu, nyie wenyewe mnawajua polisi walivyokuwa kichwani kwao kweupe, kama mpaka leo ni longolongo iyo trh 26 sindo watu tutajmba songosongo, na kama pesa za seminer tu ni hivi, je? hizo za sensa yenyewe itakuwaje?
   
 6. m

  malaka JF-Expert Member

  #6
  Aug 18, 2012
  Joined: Apr 5, 2012
  Messages: 1,323
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Hii serikali kweli inalaana. Haya yetu macho
   
 7. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #7
  Aug 18, 2012
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 308
  Trophy Points: 180
  Intelijensia imeanza lini tena kufanya kazi?. Mbona inafanya kazi tu kwenye maslahi ya watu?
   
 8. N

  Naytsory JF-Expert Member

  #8
  Aug 19, 2012
  Joined: Nov 3, 2011
  Messages: 1,590
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Yawezekana pesa zimetafunwa.
   
 9. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #9
  Aug 19, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,402
  Trophy Points: 280
  Wazushi hao wanazungusha pesa zenu bank.
   
 10. figganigga

  figganigga JF-Expert Member

  #10
  Aug 19, 2012
  Joined: Oct 17, 2010
  Messages: 14,971
  Likes Received: 6,601
  Trophy Points: 280
  wangewapa hela zao wakajinunulia valuuuu sikukuu hii. Yaani wanawabania liziki yao!?. hii ndo tanzania bana. mia
   
 11. Kigogo

  Kigogo JF-Expert Member

  #11
  Aug 19, 2012
  Joined: Dec 14, 2007
  Messages: 20,498
  Likes Received: 1,453
  Trophy Points: 280
  si wawatumie kwenye mpesa na tigo pesa tu ...
   
 12. Msolopagazi

  Msolopagazi JF-Expert Member

  #12
  Aug 19, 2012
  Joined: Nov 26, 2010
  Messages: 659
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 45
  Hizo hela zimeshachakachuliwa hapo Lazima Wengine wanyimwe hela
   
 13. Myakubanga

  Myakubanga JF-Expert Member

  #13
  Aug 19, 2012
  Joined: Oct 3, 2011
  Messages: 5,816
  Likes Received: 330
  Trophy Points: 180
  Taarifa za ki intelijensia tena!
   
 14. kinya

  kinya JF-Expert Member

  #14
  Aug 19, 2012
  Joined: Feb 20, 2009
  Messages: 483
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 35
  Taarifa za hivi punde ni kuwa wana sensa waliotawanywa jana watapewa mzigo wao leo
   
 15. dudus

  dudus JF-Expert Member

  #15
  Aug 19, 2012
  Joined: Feb 28, 2011
  Messages: 7,758
  Likes Received: 6,063
  Trophy Points: 280
  Sensa ya mwaka huu sijui! Data zake zitakuwa so unreliable. Sijui.
   
 16. d

  danizzo JF-Expert Member

  #16
  Aug 19, 2012
  Joined: Mar 19, 2011
  Messages: 279
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  hela hela hela error error error jela jela jela sera sera sera sera e e e ehe. Khaa
   
 17. kazikubwa

  kazikubwa JF-Expert Member

  #17
  Aug 19, 2012
  Joined: Oct 8, 2010
  Messages: 598
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Habari hii ina makengeza
   
 18. M

  Mr.Kombo Member

  #18
  Aug 19, 2012
  Joined: Jun 26, 2012
  Messages: 65
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  mnh! hv serikali ina nia kweli ya kupata data sahihi huku muslims kule makarani sasa posho ya wakamata waliogoma itakuwj
   
 19. maria pia

  maria pia JF-Expert Member

  #19
  Aug 19, 2012
  Joined: Jul 24, 2012
  Messages: 516
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Umeona hilo mkuu!cjui itakuwaje
   
 20. Wamunzengo

  Wamunzengo JF-Expert Member

  #20
  Aug 19, 2012
  Joined: Aug 2, 2012
  Messages: 810
  Likes Received: 180
  Trophy Points: 60
  Meeen!!! hakyanani we ni noumaaaa!!! chukua TANO kamanda.
   
Loading...