Doctors: Why we have hidden Ulimboka | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Doctors: Why we have hidden Ulimboka

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by madibira1, Aug 17, 2012.

 1. madibira1

  madibira1 Member

  #1
  Aug 17, 2012
  Joined: Dec 18, 2011
  Messages: 79
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 15
  [TABLE]
  [TR]
  [TD]Since his return last Sunday, Dr Ulimboka has not been seen in public, and efforts by the media to seek audience with him have failed. In fact, no one, apart from a few doctors, knows exactly where Dr Ulimboka is at the moment.

  The secretary of the doctors' steering committee, Dr Edwin Chitage, told The Citizen by phone on Wednesday that fear and lack of assurance on their chairman's security forced them to hide him from the public view.
  "We have agreed that he should lie low until we establish that the situation is secure for him to come out and speak publicly," he said. Asked who they feared, Dr Chitage said given what happened to Dr Ulimboka, they were not quite sure if "those who kidnapped him earlier are not hunting for him to finish their job."

  He elaborated: "We are not sure if the person who has been arrested and charged over Dr Ulimboka's abduction and torture took part in the mission... but even if he did so, there were many people in the group and only one has been arrested."

  Dr Chitage confirmed that they had advised Dr Ulimboka to maintain a low profile as they continued to assess the situation. "We have told him to stay inside and not venture out in public places for the sake of his safety," he stressed.

  He apologised to the media and journalists who have failed to get Dr Ulimboka for much needed interviews, saying his safety and security were of paramount importance now. "We want to assure ourselves that all people who wanted to harm Dr Ulimboka in the first incident have been captured before we allow him out," he stressed explaining:

  "It is true that it has been difficult to contact him, but this is for security purposes. We need to be convinced that when he comes out in public, he will be safe. But we cannot tell you how he is protected because the issue of security is usually a secret.
  "Once we are sure that the enemies are no longer behind his back and those responsible for kidnapping and torturing him are behind bars, it will then be the right time for him to show up and tell his story."

  Source: The Citizen
  [/TD]
  [/TR]
  [/TABLE]
   
 2. kupe

  kupe JF-Expert Member

  #2
  Aug 17, 2012
  Joined: Jul 26, 2012
  Messages: 1,025
  Likes Received: 93
  Trophy Points: 145
  hivi hawa ma dokta wa TANZANIA hawana habari nyingine zaidi ya ULIMBOKA. hadi inakera kila baada ya siku tatu ni habari ya ulimboka . nendeni mkatibu wagonjwa au AU KAMA HAMUWEZI ACHENI KAZI . kwani lazima muwe ma daktari si kazi nyingine zipo . kuna uhasimu, ujenzi,ubunge, siasa etc . TOKENI ZENU TUMEWACHOKA WAUAWAJI WAKUBWA WENYE TAMAA YA MAISHA MAZURI
   
 3. b

  bamku JF-Expert Member

  #3
  Aug 17, 2012
  Joined: Aug 15, 2012
  Messages: 536
  Likes Received: 400
  Trophy Points: 80
  Acha kuropoka, madaktari hawakuwaita waandishi wa habari kuwaelezea habari za ulimboka ila mwandishi mwenyewe wa habari ndiye aliyemuuliza daktari kuhusu wapi yupo Dr.ulimboka. inamaana wewe ulitaka mwandishi wa habari asijibiwe?
   
 4. Nivea

  Nivea JF-Expert Member

  #4
  Aug 17, 2012
  Joined: May 21, 2012
  Messages: 7,449
  Likes Received: 71
  Trophy Points: 145
  utujuta kuleta hii mada maana naona ,matusi tuuuuuuuuuuuuuuuuuu
   
 5. k

  kichenchele JF-Expert Member

  #5
  Aug 17, 2012
  Joined: Jun 28, 2010
  Messages: 521
  Likes Received: 61
  Trophy Points: 45
  TISS wamemtuma huyo,
   
 6. Gama

  Gama JF-Expert Member

  #6
  Aug 18, 2012
  Joined: Jan 9, 2010
  Messages: 9,224
  Likes Received: 1,411
  Trophy Points: 280
  acha kutoka mapovu, habari yenyewe kwanzza ni incoordinated, magazeti yaliyotangula yaliripoti kuwa Ulimboka aliomba aachwe kwanza apumzike na familia yake na siyo kwamba amefichwa, huyu ripota wa citizeni sijui habari za kusema ulimboka amefichwa amezipata wapi? Hii habari imekaa kama ya kupika coz haiyumukiniki ni kwa kiasi gani unaweza kusema kuwa mtu mzima amefichwa! Hadi lini?, anaulinzi gani?!
   
 7. t

  thatha JF-Expert Member

  #7
  Aug 18, 2012
  Joined: Apr 29, 2011
  Messages: 15,234
  Likes Received: 179
  Trophy Points: 160
  Naskia watu waliofiwa na ndugu zao wakati wa mgomo wa ulimboka wanaenda kumfungulia kesi uli ya kusababisha vifo kwa ndugu zao.kazi ipo.
   
 8. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #8
  Aug 18, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  hata wakiacha kutibu wataendelea kuitwa madokta,,,,,,nyerere aliacha kufundisha ila hadi anakufa akaendelea kuitwa MWALIMU,,,,
   
 9. t

  thatha JF-Expert Member

  #9
  Aug 18, 2012
  Joined: Apr 29, 2011
  Messages: 15,234
  Likes Received: 179
  Trophy Points: 160
  Ulimboka atafikishwa mahakamani kama alifikishwa dr chitage kujibu mashtaka ya kuendesha mgomo uliozuiliwa na mahakama,ivo shtaka mojawapo ni kuidharau mahakama pamoja na mauaji ya wagonjwa ambao wangeweza kutibika
   
 10. t

  thatha JF-Expert Member

  #10
  Aug 18, 2012
  Joined: Apr 29, 2011
  Messages: 15,234
  Likes Received: 179
  Trophy Points: 160
  nchi ilishakombolewa toka mwaka 1961 we paka.haya yanayoendelea ni siasa na ni uchochezi,acheni ujinga
   
 11. Autorun

  Autorun JF-Expert Member

  #11
  Aug 18, 2012
  Joined: Mar 21, 2008
  Messages: 556
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  nchi ilisha kombolewa lakini wewe mbona bado mfungwa tu
   
 12. M

  MTK JF-Expert Member

  #12
  Aug 18, 2012
  Joined: Apr 19, 2012
  Messages: 6,960
  Likes Received: 2,837
  Trophy Points: 280
  The fear of disclosure on the part of the perpetrators of that heinious crime against dr. Ulli can only be the sole reason for their burning desire to have him dead!
  Thus said the earlier he spills the beans in broad daylight, in bare knuckles with no punches barred the better!
  Once the dye is cast and the dark story is in the public domain; the motivation for gunning for our good doctor will diminish while the fear of recriminations against them will then take centre stage. Go for it MAT
   
 13. t

  thatha JF-Expert Member

  #13
  Aug 18, 2012
  Joined: Apr 29, 2011
  Messages: 15,234
  Likes Received: 179
  Trophy Points: 160
  Who is ulimboka katika hii nchi?kwa taarifa tu ni kwamba tumechoka habari zake,we need a break tafadhali
   
 14. kupe

  kupe JF-Expert Member

  #14
  Aug 18, 2012
  Joined: Jul 26, 2012
  Messages: 1,025
  Likes Received: 93
  Trophy Points: 145
  hivi kweli nchi hii ina wapumbavu. hivi ulitaka kila mtu awe daktari. na wote tungekuwa ma dokta nani angekuwa engineer, accountant, nurse , politician etc. nadhani wewe ni dokta au mwanafunzi wa md. njaa yenu mliyodhani kuwa dokta ni kuwa tajiri sasa imewatokea puani. heshimu na taaluma za wenzako fisi maji wewe. unadhani kuwa dokta ndio kila kitu? kikwete aliwaambia kama hujaridhika na kazi ,mazingira au mshahara unaruhusiwa kuondoka na kwenda unakoona utalipwa vizuri. na mimi nakushauri wewe si msomi kama hujaridhika na mazingira yako ya kazi then badirisha taaluma somea kitu kingine kama siasa,uchumi etc ili ukafanye kazi huko BUNGENI au BOT ukapate hayo mapesa ili uwe tajiri. otherwise mtaishia hivyo hivyo. kelele za .........hazimzuii mwenye nyumba kulala
   
 15. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #15
  Aug 18, 2012
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,269
  Likes Received: 22,029
  Trophy Points: 280
  Hivi madokta hawajui kilugha? Mbona wameandika tamko lao kizungu?
   
 16. Az 89

  Az 89 JF-Expert Member

  #16
  Aug 18, 2012
  Joined: Nov 20, 2011
  Messages: 1,613
  Likes Received: 120
  Trophy Points: 160
  siamini kama kuna ukombozi sababu akili yako bado wanaitumia wanasiasa kuchambia !
   
 17. cement

  cement JF-Expert Member

  #17
  Aug 18, 2012
  Joined: May 5, 2012
  Messages: 583
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  kotama koya naya muha??????ndukumu kowa?????????????????????????????????
   
 18. Jackbauer

  Jackbauer JF-Expert Member

  #18
  Aug 18, 2012
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 5,920
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  haya ni mawazo ya "baby boo" ambaye hajui uzalendo ni kitu gani.kwa hiyo yote anayoyasema kikwete ni sahihi na unayakubali kama juakalulu!?
   
 19. Az 89

  Az 89 JF-Expert Member

  #19
  Aug 18, 2012
  Joined: Nov 20, 2011
  Messages: 1,613
  Likes Received: 120
  Trophy Points: 160
  KUPE ni jina baya sana! Kama una Elimu basi watoto au wazazi wako hawapo proud na wewe! Fisi maji mwenyewe!
   
 20. Jackbauer

  Jackbauer JF-Expert Member

  #20
  Aug 18, 2012
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 5,920
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  nchi imekombolewa lakini bajeti yake ni kwa hisani ya wafadhili.ukombozi wa kweli wa nchi hii unakuja
   
Loading...