Jambo la Muhimu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Jambo la Muhimu

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Jamaa2, Aug 13, 2012.

 1. Jamaa2

  Jamaa2 Member

  #1
  Aug 13, 2012
  Joined: Jun 18, 2012
  Messages: 8
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nimejaribu kufuatilia kwa Karibu kwenye Post zinazohusu masuala ya Mgogogro wa Tanzania na Malawi kuhusiana na Ziwa Nyasa na nimegundua kuwa tangu mzozo huu umeanza kuna watu wengi sana wameanza kuja hapa JF na kujoin kama new Members hasa kuanzia Mwezi August.

  Ukifatilia comments zao utakuja kugundua kuwa wana Kiswahili cha kukosea ama Wanarespond kwa Lugha ya Kingereza na hasa kwenda Agaist na mada na kujaribu kuonyesha weakness za Tanzania katika kila jambo hasa kuhusiana na Malawi.

  My take: Nadhani wanayotumia ni baadhi ya Wamalawi kujaribu kufanya "Psychological Warfare" hapa kwetu kwa kutumia mtandao kama huu wa JF kwakua wanaamini wananchi wengi sasa wanautumia kujuzana na kupata taarifa mbali mbali za muhimu Nchini na nje ya nchi. Nadhani ni kuwaangalia na kupuuza Comments hizi, ama pia MOD kuwafuta hapa.

  Naomba Kuwasilisha.
   
 2. Mtanzanika

  Mtanzanika JF-Expert Member

  #2
  Aug 14, 2012
  Joined: Feb 27, 2012
  Messages: 2,208
  Likes Received: 734
  Trophy Points: 280
  umenena vyema!!
   
 3. Donn

  Donn JF-Expert Member

  #3
  Aug 14, 2012
  Joined: Jun 5, 2012
  Messages: 2,450
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 145
  Muhimu
   
 4. Eiyer

  Eiyer JF-Expert Member

  #4
  Aug 16, 2012
  Joined: Apr 17, 2011
  Messages: 28,238
  Likes Received: 3,667
  Trophy Points: 280
  Ngoja nikague . . . . . . . . . .
   
 5. Andrew Nyerere

  Andrew Nyerere Verified User

  #5
  Aug 17, 2012
  Joined: Nov 10, 2008
  Messages: 3,025
  Likes Received: 1,203
  Trophy Points: 280
  'Dis is an International Forum,what's bothering you?
   
 6. T

  Tewe JF-Expert Member

  #6
  Aug 17, 2012
  Joined: Jan 11, 2008
  Messages: 744
  Likes Received: 182
  Trophy Points: 60
  Acha waje nao wajue msimamo wetu wakamwambie huyo bi joyce kwamba wanaume hawana mzaha na hili jambo awe makini asije ozwa ndoa ambayo hajaitarajia
   
 7. M

  Makwarukwaru Member

  #7
  Aug 19, 2012
  Joined: Mar 10, 2012
  Messages: 66
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Acha waje ili wapeleke habari kwa huyo Joyce.
   
 8. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #8
  Aug 19, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,402
  Trophy Points: 280
  "Nakuomba mamae twende kwa wazazi nyumbaniiii wakati wotee!! Jambo la muhimu nakuomba mamae twende kwa wazazi nyumbani"
   
 9. fyddell

  fyddell JF-Expert Member

  #9
  Aug 19, 2012
  Joined: Dec 19, 2011
  Messages: 2,082
  Likes Received: 769
  Trophy Points: 280
  Unalosema ni kweli mkuu ila haina haja ya kuwafuta au kua nao makini kama wote tunatakiwa tuitumie haki yetu ya freedom of speech. Cha msingi ni kutambua na kuilinda mipaka yetu kwa hali na mali maana hawa viongozi walikula kiapo kwa wengine kushika biblia na wengine kitabu bha quran. So hao wamalawi wajue kua hatutasita kuchukua hatua yoyote zidi ya mvamizi wa maeneo yetu. Hatuwaogopi na hawana uwezo wakupigana nasi.
  Pamoja na hayo yote naomba Mungu atuepushie mbali na vita maana watanzania watakua na maisha magumu zaidi ya waliyonayo sasa. I prefer diplomatic solution than going into a so called WAR.
   
Loading...