Hakuna mwenye uchungu na nchi hii kama hapatakuwepo mabadiliko | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hakuna mwenye uchungu na nchi hii kama hapatakuwepo mabadiliko

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by keulankubha, Aug 18, 2012.

 1. keulankubha

  keulankubha Member

  #1
  Aug 18, 2012
  Joined: May 7, 2012
  Messages: 49
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ndugu zangu watanzania kabla ya kulalamikia serikali na chama cha mapinduzi. kwanza tujilaumu sisi wenyewe. mimi naona wananchi hatuna uchungu na nchi yetu maana haya yote yanayo fanywa na serikali ya chama cha mapindizi ni baada ya kusoma wananchi yakuwa hatujitambui. maana kama maovu wanayo yafanya tunayaona na hatuchukui atua kali kulingana na waliyofanya inamaana sisi watanzania na umbumbu wetu ndio tunao tunakuwa chimbuko la maovu/madudu hayo. mfano tuanangalie sakata la madaktari na walimu. sidhami kama madaktari na walimu ni wajibu wao kuandamana kwasababu ya kugoma kwao, ili linatubidi sisi wananchi au watanzania wenye upendo na mchi yetu kuandamana sababu madaktari na walimu hawaathiriki na migomo yao. wananchi ndio tunao umia, eti tunasubili madaktary waandamane kwamisingi gani kama sio sisi wananchi wunao athirika? ili ndio linalo onesha wazi kuwa watanzania hatuna uchungu na nchi yetu. Hivyo basi ndugu zangu tuwe na uchungu na nchi yetu, tuwe tayari kupigania nchi yetu pia ni wajibu wa kila mtanzania kusimama na kidete kuitetea, kulinda rasilimali za taifa letu na kuijenga. watanzania tuondoe woga hauna masilai katika ujenzi wa taifa letu, pia tuwe watu wa kujituma na kujitolea katika ujenzi wa taifa letu. Ndugu zangu maadui zetu tumewajua wale ambao hawana upendo wa watanzania. pia ndugu zangu nina imani kuwa tukitaka kuimalisha nchi yetu kuzuia vitendo vibovu vinavyo fanywa na serikali ya chama cha mapindizi ccm ina wezekana tena kiulaisi. tena kwaamani bila kumwagadamu ya mtanzania yeyote. maana tumepewa silaa ya kupambana nao bila woga, silaa hiyo ni kalamu na karatasi siku ya kupiga kura. Watanzania tusijidanganye kuwa watachakachua kama kweli tuna nia na upendo na nchi yetu ata kama kuna uchakachuaji tunashinda na kuwaondoa madarakani. maana naamini kuwa kuchakachua kunajitokeza pale panapojitokeza ushindi wa asilimia ndogo. nina imani kuwa sasahivi watanzania tunapenda nchi yetu na tuko tayari kuitetea na kuisimamia kwa udi na uvumba. sina budi kuwapungia mkono wa bye bye ccm.
   
 2. meningitis

  meningitis JF-Expert Member

  #2
  Aug 18, 2012
  Joined: Nov 17, 2010
  Messages: 8,020
  Likes Received: 911
  Trophy Points: 280
  tuwape support makundi yote ya jamii yaliypanzisha mchakato wa mabadiliko.
   
 3. keulankubha

  keulankubha Member

  #3
  Aug 18, 2012
  Joined: May 7, 2012
  Messages: 49
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  mabadili ndio yatakayo leta maendeleo maana tukiwa watu wenye upendo katika nchi yetu hii kila linapojitokeza tatizo tuko tayari kusemea ilo jambo/tatizo ili basi jua kuwa ndio jia ya maendeleo sio umbumbu wa kulindana katika maovu

  pia watanzania tujifunze kitu cha kutokuwa na rafiki pale maovu yanapofanyika uone kama atutaendea. tatizo la ccm ni kulindana. kujifanya marafiki lakini nadhani mtu mwenye upendo wa nchi yake na watanzania awezi kufumbia macho mambo kama haya
   
 4. Mwiba

  Mwiba JF-Expert Member

  #4
  Aug 18, 2012
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 7,606
  Likes Received: 215
  Trophy Points: 160
  WaTanganyika ni wavivu na woga sana ,mnaogopa kufwa ,kila WaZanzibari wanapojaribu kuvaana na serikali huwaga mnawatenga na kuwaona wanaubinafsi na hawachukuliki ,WaZanzibari wameshaona kuwa CCM si chama kinachowafaa kuwaongoza ila nyie ndio mapepe ,hamna kitu!
   
 5. mopaozi

  mopaozi JF-Expert Member

  #5
  Aug 18, 2012
  Joined: Nov 17, 2010
  Messages: 3,290
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  Una kiherehere wewe
   
 6. U

  Ubungo JF-Expert Member

  #6
  Aug 18, 2012
  Joined: Apr 7, 2012
  Messages: 1,239
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Mabadiliko yataanza na wewe.
   
 7. keulankubha

  keulankubha Member

  #7
  Aug 18, 2012
  Joined: May 7, 2012
  Messages: 49
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Sijakoma inasikitisha sana kama wewe bado uko ccm, umechelewa wapi ndugu? au bado umevaa miwani ya mbao kinacho fanyika katika nchi hii na serikali ya ccm hukioni wewe ndio wale wale? amka kumekucha tujenge nchi yetu acha kukumbatia na kutetea mambo ya siyo na tija kwa wananchi wazalendo. Ndugu Sijakoma ccm wanakucheka wakiona bado ujajitabua ulipo katika karine hii. wapuuze ccm utaonekana wamaana sana maana wamezoea kukaa na wajinga wasio jitambua.
   
 8. Tango73

  Tango73 JF-Expert Member

  #8
  Aug 18, 2012
  Joined: Dec 14, 2008
  Messages: 1,678
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 135
  TUNA UCHUNGU NA NCHI HII. iLA IDADI YA WATU AMBAO HUTAKIWA KUANDAMNA na kudai haki zao za msingi, wengi wao ni dalasa la saba. utamkuta mtu hana kazi na kaozea kijijini, ukimuuliza kwa nini anishi maisha duni, yeyey atakuambia kuwa kwa sababu alifeli dalasa la saba na sio kwa sababu ya kiongozi aliye madarakani haja create jobs au kujifanya yeye ni anti western europe. mabadilikjo sio kitu cha kulilia ila tulilie katiba ya wananchi kama walivyofanya somalia ktk kujenga katiba yao. na katika katiba lazima kifungu kimkingacho raisi asishitakiwe kifutwe na kiwekwe kifungu kimtakacho raisi ashitakiwe mara atumiapo vibaya madaraka yake. Sasa 70% ya hao wanaoulizwa maoni ya katiba ni std vii(dalasa la saba) wewe unategemea watasema nini kuhusu unemployment, adhabu ya kifo, au check and balance governance.
   
 9. michael mbiti

  michael mbiti Member

  #9
  Aug 19, 2012
  Joined: Oct 25, 2011
  Messages: 11
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kaka uko sawa kabisa nakusapoti big uo
   
 10. Wamunzengo

  Wamunzengo JF-Expert Member

  #10
  Aug 19, 2012
  Joined: Aug 2, 2012
  Messages: 810
  Likes Received: 180
  Trophy Points: 60
  Mkuu upo sawa kabisa, na inavyoonekana kwa umri wangu mdogo nilionao, mwamko wa watanzania kwa sasa kuhusu mambo ya kitaifa hasa siasa ni mkubwa sana. na haya makundi ya wanaharakati kwa kweli yamekuwa msaada mkubwa katika kuwaamsha wananchi. mimi naamini mabadiliko yapo karibu sana, sidhani kama watanzania watakubali kurudi nyuma tena kutoka hapa walipofika, NI KUSONGA MBELE TU. CCM NI TATIZO, NA WATU WAMESHABAINI.
   
Loading...