Salaam kwa wote, Eid Mubarak kwa ndugu zangu waislam!
shkamoo kwa wakubwa na maaraba kwa wdogo zangu wote.
Wanajamvi, kuna mdogo wangu anasoma Kenya,
kanipigia sim kuniuliza kuhusu sensa, na...
Matatizo kamahaya hata katika nchi zetu yameanza kujitokeza mtu unakwenda kuishi katika nchi ya mtu halafu unataka kuwapanda vichwani.
Racist rant against white people by passenger on London bus...
Kwa Mujibu wa Sensa mwaka huu 2012, baadhi ya Maeneo ya Kuwahesabu watu ,kutapelekwa Vikosi vya Polisi ili kulinda Usalama wa Makarani. Hii ni kutokana na Baadhi ya Makarani wa Sensa kulalamika...
1..kwa taarifa yako,watu wengi hubeba condomu au kuongelea kama vile wazijua sana lakini ni ushahidi tu,hawazitumii!.
2..Kabila linaloongoza kwa kuwania madaraka hasa ya Urais ni Wachagga ...
wakala wa vitambulisho Nida wameona waunganishe suala la sensa na ukusanyaji wa taarifa za watu kwa ajili ya vitambulisho vya Taifa kwa kuwatumia makarani wa sensa, Malipo ya Nida hayapowazi...
ni takribani watu wanne sasa wakiwa wanauwa kikatili.wakwanza alikua ni mwanamke ambaye alibakwa na kunyongwa hadi kufa,mwanaume kukata shingwa, na wengine ambao wamekatwa shingo lakini hawajafa...
Habari wana jf na siku tatu nilikuwa kilombero kwa shughuli mbalimbali sasa leo nimemaliza shughuli zangu nimeamua kuanza safari mapema asubuhi nilitaka gari ya asubuhi sana ili niweze fika...
Wanabodi,
Nimesoma habari kupitia gazeti la Championi kuhusu hali mbaya ya kiafya ya mchezaji mkongwe aliyewahi kuchezea Simba kwa mafanikio makubwa na pia kucheza Taifa Stars kwa kipindi kirefu...
Nataka kuimba ya kwamba kwenye shamba kuna mamba anayejigamba ana magamba,
Mamba anayejigamba ni mama mwamba asiyeyumba ..........
video kwa hisani ya ramadhankhamis wa youtube
Kufuatia kunyamazia au kusingizia hili suala la udini likaendelea kutamkwa na viongozi wa ccm litatumaliza,,zanziba wanachoma mabaa,na makanisa,viongozi wanakaa kimya. Waziri mkuu anaulizwa swali...
Naomba kwa mtu yeyote mwenye uelewa gharama za kuagiza gari aina ya Noah toka ughaibuni hadi kunifikia ni kiasi gani anisaidie nataka kujua, nimechoka kutembea kwa miguu. Naomba wadau wekeni mambo...
Amani maana yake ni nini?
Amani maana yake ni kuwapumbaza watanzania ili mafisadi waibe pesa, wapore maliasili na kuficha nje ya nchi?
Amani ni watanzania kufa kwa kukosa huduma za afya??
Amani...
Ewe mwanaJF uliye hapa Arusha,
Ewe mwanaJF uliye hapa kwenye jumba la starehe liitwalo BIG L",
Ewe mwanaJf unayekunywa kinywaji aina ya Sminorf ukichanganya na soda ya Tonic water.
Ewe mwanaJf...
Wapendwa wana jf, nimepita kwenye mitaa kadhaa ya Dar kutafuta gazeti nilipendalo la Tanzania Daima bila mafanikio. Kila ukiuliza wauzaji wanasema leo halijatoka. Kulikoni? walio karibu na...
Beatrice Shelkindo ameingia mgogoro na Mkuu wa wilaya baada ya kumugharimia mganga wa kienyeji aliyepewa jukumu la kupekuwa,nyumba za watu,makanisa na misikiti kwa lengo la kukamata wachawi na...
ILKUWA KAMA MAIGIZO VILE LEO AMANA HOSPITAL,,KATIKA WORD YA WAMAMA WANAOSUBIRI KUJIFUNGUA,,,,AMEINGIA DR MMOJA SAA TANO ASBH,, NA KUANZA KUTOA LUGHA YA KUDHALILISHA,,ETI MBONA MMEJAA HIVI...
AFRICA
Below is a list of Recommended Natural Wonders of Africa. We invite you to discover, explore, and enjoy each of these natural wonders. Please vote to confirm these...
Huyu Mzee Mwanakijiji wa Bagamoyo ataanza lini kutumia helikopta kwenda kwao Bagamoyo?
Wakazi wa Bagamoyo Road tunateseka sana na foleni zinazosababishwa na msafara wake.
Pia kutumia helikopta...