Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Ili habari itimie ni budi tutajiwe na hayo majina..sasa mlijuaje akaunti zina pesa kiasi gani lakini msijue ni akaunti za akina nani? Tusiwekane roho juu wala tusiogopane,tutajieni majina ili...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Kwa miaka mingi zoezi hili la sensa ya watu na makazi limekuwa likifanywa na walimu hapa nchini,kwa uzoefu wao wa kufundisha,kutunga na kusahihisha mitihani imekuwa ni rahisi kwao na pia udhibiti...
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Nimeamini Malawi ni kiboko kwa kukusanya habari za kiintelijensia hasa baada ya huu mgogoro wa mpaka maarufu kama mgogoro wa ziwa Nyasa. Toka Lowassa, Membe na Sitta walipotangaza kuwa Tanzania...
4 Reactions
87 Replies
9K Views
Nimesikitishwa sana na mkuu wa mkoa wa dar es salaam kwa kutoa kauli ya dharau namna hiyo eti kuna vijana elfu moja wanaovamia maeneo ya watu madale na kujitwalia kutoka kwa wamiliki halali wa...
1 Reactions
12 Replies
2K Views
Taarifa ya Habari ITV, ya saa mbili, imeonesha mgogoro wa ardhi, ambapo polisi walipambana na raia, wakati raia wakitumia silaha za jadi (Mishale) katika kupambana na polisi. Polisi wameshinda...
0 Reactions
0 Replies
962 Views
Hivi karibuni niliagiza gari ndogo (980 CC) kutoka Japan kutokana na unafuu wake (mafuta na bei) ili kukidhi mahitaji mbalimbali kulingana na mwenendo wa maisha ya sasa. Pamoja na kwamba serikali...
0 Reactions
15 Replies
3K Views
Kwasasa barabara ya Mwenge-Tegeta inapanuliwa ingekuwa nafasi nzuri ya serikali kutafuta pesa au wahisani wa kupanua barabara ya Tegeta-Bagamoyo kwani itapunguza gharama. Sasa ni wakati wa ujenzi...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Shirika hili la umma limekuja kwa kasi kubwa sana kipindi fulani kwa huduma hii ya broadband lakini kadri siku zinavyodhidi kwenda shirika hili linakosa mvuto kwa wateja wake wengi ambao...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
mimi nilikuwa ni miungoni mwa wasilikizaji wakubwa katika ile shule aliyokuo akiitoa pro pale itv,na mada zake zote nilizilekodili ili zinisaidie katika kuandika na kutoa maoni juu ya katiba mpya...
1 Reactions
20 Replies
2K Views
Kumetokea ajali Kigoma, wanasensa waliokuwa wanatoka semina wamepata ajali, wawili wamekufa, mmoja ni head ticha, mwingne konda wa gari. Wanasensa wengne 8 hali mbaya. Source - TBC habari
0 Reactions
2 Replies
1K Views
kwa hili viongozi hawa ni lazima wajiuzulu ili kuepusha mengine mabaya zaidi viongozi wa chama cha waandishi wa habari kilimanjaro mecki wameingia kwenye kashfa nyingine kwa kuivunja katiba...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
huduma zetu na wawekezaji zinaendana na ubora na thamani tunayopewa ktk miradi ya maendeleo au kujuana kwingi halafu kazi haziendi? tusaidiane ili kuiokoa serikali dahifu kwa maoni iwe kwa wazawa...
0 Reactions
1 Replies
906 Views
huduma zetu na wawekezaji zinaendana na ubora na thamani tunayopewa ktk miradi ya maendeleo au kujuana kwingi halafu kazi haziendi? tusaidiane ili kuiokoa serikali dahifu kwa maoni iwe kwa...
0 Reactions
0 Replies
980 Views
Hebu tazameni watu wanavyofaidi vivutio vyetu, kuanzia watalii, wasafirishaji na wawekezaji katika hoteli/ camps za mbugani.Link Serengeti, Tanzania: Busy Airport - YouTube Source: Michuzi blog.
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Kama karani wa sensa natamani kwenda kuhesabu ikulu
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Official Statement by Julian Assange from the Ecuadorian Embassy Sunday August 19th, 14:30 I am here because I cannot be closer to you. Thank you for being here. Thank you for your...
0 Reactions
1 Replies
918 Views
Naomba kujuzwa kuhusu vifaa vya kuanlock simu na kuflash,,,je vinapatikanaje,,,ni kwa set au?????? bei yake ikoje<?????magroup yake yakoje??????? mtu unaweza kua navyo na kufanyia kazi kama...
0 Reactions
0 Replies
868 Views
Kuna defender nane nimepishana nazo maeneo ya tegeta jamani mlioko huko mtujuze japo tuokoe matandiko yetu Mbunge katutosa.... Hii ni bomoa bomoa tu na zi vinginevyo
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Hadzabes ask for monkey meat during census · · Tweet Details Published on Wednesday, 22 August 2012 03:48 Written by MARC NKWAME in Karatu Hits: 142 THE Hadzabe who live in...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
jf natumaini ni wazima,naomba ushauri kwa wale wazoefu wa biashara za kuzunguka minadani kupeleleka bidhaa mbalimbali,je ni bidhaa gani hasa hutoka huko vijijini minadani? je nianze na mtaji kiasi...
0 Reactions
1 Replies
4K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…