kwa wazoefu wa biashara za minadani au magulio

joel amani

Senior Member
Nov 22, 2011
100
8
jf natumaini ni wazima,naomba ushauri kwa wale wazoefu wa biashara za kuzunguka minadani kupeleleka bidhaa mbalimbali,je ni bidhaa gani hasa hutoka huko vijijini minadani? je nianze na mtaji kiasi gani? naombeni msaada wa mawazo sio kuniponda jf,ahsante
 
Bidhaa c zinatofautiana kutokana na maeneo Mkuu,we unataka kuanza deal zako maeneo gani?kwa mfano kama ni sehemu za baridi wapelekee mizula ya cdm utauza
 
Back
Top Bottom