Malawi Kiboko kwa Intelijensia | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Malawi Kiboko kwa Intelijensia

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Mtego wa Noti, Aug 15, 2012.

 1. Mtego wa Noti

  Mtego wa Noti JF-Expert Member

  #1
  Aug 15, 2012
  Joined: Nov 27, 2010
  Messages: 2,231
  Likes Received: 136
  Trophy Points: 160
  Nimeamini Malawi ni kiboko kwa kukusanya habari za kiintelijensia hasa baada ya huu mgogoro wa mpaka maarufu kama mgogoro wa ziwa Nyasa.

  Toka Lowassa, Membe na Sitta walipotangaza kuwa Tanzania iko tayari kupigana ili kulinda mipaka yake, haiishi siku bila kuona delegation mbalimbali kutoka Malawi zikiwa hapa nchini eti kuongea mara na Tume ya uchaguzi, mara bunge, n.k.

  Kwa taarifa yenu kama hamjui, delegation hizi zinakuja maalum kuangalia the state of art! wanajaribu kuangalia kama kuna any movements zinazoweza kuonyesha kuwa tuko tunajiandaa kivita.

  Mipangilio hiyo ambayo wanaweza kuangalia ni pamoja na bulk procurements za vyakula, mambo ya silaha na mobilization za majeshi kutoka eneo moja hadi lingine hasa kuelekea maeneo karibu na huko kwenye mgogoro.

  Wakati wakiangalia hayo, wanajaribu pia kuangalia weak spots za kwetu ili kama kweli ikitokea, basi watuzime ghafla na kwa haraka zaidi.

  Kwa taarifa yenu, Malawi tuwa-underestimate eti na ka nchi kadogo, hata chura alimuua tembo!
  Let us be extra careful guys.
   
 2. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #2
  Aug 15, 2012
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,451
  Likes Received: 22,405
  Trophy Points: 280
  Bongo idara yetu ya intelijensia iko bize na kuteka, kutesa na kutupa kwenye msitu wa Pande. Intelijensia ya Kova iko bize na kuzuia mikutano ya hadhara ya Chadema
   
 3. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #3
  Aug 15, 2012
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  Sasa wewe unataka kuwafundisha Tanzania ambao wamepigana vita vyao na vya wengine? usitake ncheke!
   
 4. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #4
  Aug 15, 2012
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 309
  Trophy Points: 180
  Really hata mm nimekuwa shocked na ujumbe uliokuja leo, eti wanakuja kujifunza uzoefu wa uchaguzi.
  Why now?
  Miaka mingine wanajifunziaga wapi!
  Ingawa siamini kuwa intelijensi inaweza kufanywa kwa siku tatu, mimi hisia zangu zinanituma kuwa wanachofanya ktk ziara zao ni namna ya kuomba mazingira ya amani na kusihi Tanzania iachane na mpango wa vita.
   
 5. Head teacher

  Head teacher JF-Expert Member

  #5
  Aug 15, 2012
  Joined: Mar 10, 2012
  Messages: 1,811
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  True, ila sisi tissm yetu wanawaza namna ya kupeleka watu mabwepande
   
 6. U

  Ubungo JF-Expert Member

  #6
  Aug 15, 2012
  Joined: Apr 7, 2012
  Messages: 1,239
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Kama ni vita pia tunawakaribisha then watajua sisi ni waalimu au wanafunzi.
   
 7. Ndahani

  Ndahani JF-Expert Member

  #7
  Aug 15, 2012
  Joined: Jun 3, 2008
  Messages: 14,343
  Likes Received: 1,810
  Trophy Points: 280
  Ni kweli kabisa. Wanakuja kuweka mambo sawa na si ujasusi. Ujasusi gani unafanywa kishamba namna hiyo? Kwani ile brigadia ya kusini imeishiwa mpaka tuhamishe kila kitu kutoka sehemu nyingine?
   
 8. P

  Prince Hope JF-Expert Member

  #8
  Aug 15, 2012
  Joined: Jul 21, 2012
  Messages: 2,167
  Likes Received: 55
  Trophy Points: 145
  Acha uongo.
   
 9. zubedayo_mchuzi

  zubedayo_mchuzi JF-Expert Member

  #9
  Aug 15, 2012
  Joined: Sep 2, 2011
  Messages: 4,922
  Likes Received: 129
  Trophy Points: 160
  acheni mchezo hao wanajifurahisha tu...
   
 10. Mtego wa Noti

  Mtego wa Noti JF-Expert Member

  #10
  Aug 15, 2012
  Joined: Nov 27, 2010
  Messages: 2,231
  Likes Received: 136
  Trophy Points: 160
   
 11. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #11
  Aug 15, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,154
  Likes Received: 2,407
  Trophy Points: 280
  Haujaona makomandoo kutoka japan wameingia na meli za kivita? Haujasikia mabomu kibamba? Haujasikia mabomu ya kufa mtu leo asubuhi saa 3 asubuhi? Tz wana mikwara lengo ni kuwatisha hawa wajumbe kutoka malawi.
   
 12. Mtego wa Noti

  Mtego wa Noti JF-Expert Member

  #12
  Aug 15, 2012
  Joined: Nov 27, 2010
  Messages: 2,231
  Likes Received: 136
  Trophy Points: 160
  umenivunja sana mbavu zangu...sasa hizo ndizo hbr wanazoztitaka wamalawi ili wajipange zaidi!
   
 13. m

  markj JF-Expert Member

  #13
  Aug 15, 2012
  Joined: Jul 6, 2012
  Messages: 1,756
  Likes Received: 364
  Trophy Points: 180
  Maybe! ila kama intellegencia yao ingekuwa vizuri zaidi, kwa kazi kama hii ilitakiwa waifanye kabla ya kuanza kufanya uchunguzi wa mafuta kwa mana ni dhairi walikuwa wanajua lazima kuwe na mgogoro, na kuhusu kujiandaa they know that kwamba sio wao tu hata tz wanajiandaa kwa vita, mana huwezi eti kisa mko kwenye deplomatic means ndo mkalala makambini tu, alafu kwa kifupi tunapenda sana kujifanya maintellegencia, je?

  Is it true kuwa hakuna hata intellegencia yyt wa tz ambaye kwa sasa yuko malawi? je malawi hakuna ubalozi wa tz? sasa unajua hao watu wa ubalozi wa tz ni watu wa aina gani? je malawi hakuna raia wa tz? je unajua ni raia wa aina gani kama ni intellegencia au lah! hata wao sio lazima watume delegation zao, tayari wana watu wao hapa nchini kama ilivyo serikali ya nchi yyt ile. si zani kama wanatumia njia hiyo kiintellegencia basi they are not good kwenye intellegence, very poor wako!

  Sio kwamba hata kama watu wanaenda kutupana mambwepande eti ndo ikawa hakuna cha maana wanachofanya yapo makubwa na mazito yanafanya sema kwa kuwa sisi wabongo tunapenda udaku basi twataka tusimuliwe yote yanayofanyika kwenye hii nchi hata kwenye idara ambazo kzinabidi ziwe na siri, kama intellegencia yao ndo hii wamalawi asi hamna kitu, labda mkuu wewe umeamua tu kufikiria ivyo, hii njia wanayoitumia wao ni deplomacia, na hata kwao walishajipanga kwa vita hawawezi kusema hatuko tayari kwa vita wale wakati wanajua huu ni mgogoro na solution ni diplomacia au war tu!
   
 14. Mtego wa Noti

  Mtego wa Noti JF-Expert Member

  #14
  Aug 15, 2012
  Joined: Nov 27, 2010
  Messages: 2,231
  Likes Received: 136
  Trophy Points: 160
  mzaha mzaha hutumbuka usaa...chezea malawi wewe!!!
   
 15. m

  markj JF-Expert Member

  #15
  Aug 15, 2012
  Joined: Jul 6, 2012
  Messages: 1,756
  Likes Received: 364
  Trophy Points: 180
  hahaha! mkuu, izo ndo intellegencia zetu tukiwa kwenye foleni za mabus, huwa tunapotezea muda, sasa kweli kuna kitu gani watavuna kwa kutumia intellegencia mbovu namna hiyo.
   
 16. Finufingi

  Finufingi Senior Member

  #16
  Aug 15, 2012
  Joined: Feb 1, 2012
  Messages: 125
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 45
  .....nyie sikieni tu, .....ile jumapili iliyopita "njiwa" wetu warukao kasi wawili kutokea kaskazini na wawili kusini ya ziwa kwa kasi na milio zaidi ya ile ya miaka 50 pale taifa imekuwa onyo tosha kwamba wajukuu wa Nyerere hawataki utani .Karibuni huku kusini kwetu mjionee
   
 17. Mtego wa Noti

  Mtego wa Noti JF-Expert Member

  #17
  Aug 15, 2012
  Joined: Nov 27, 2010
  Messages: 2,231
  Likes Received: 136
  Trophy Points: 160
  unachokisema ni ukweli mtupu na ni cha mantiki sana...kuna hali inafika hizi delegation zinaogeza majasusi ili wapate details zaidi kwa majasusi walioko ndani tayari...hivi unadhani hizi delegation zinazokuja sasa hivi kwa wingi leno ni kutuliza munkari wa tz? binafsi siamini hivo...kwa sababu wanajua tunaweza kuhack mawasiliano ya watu wao walio ndani ya nchi, ndio maana wanapenyeza watu wao ili wawape taarifa za undani za hali ilivo hapa ndani...believe or not kuna aina nyingi za kufanya intelijensia na hii ni mojawapo...
   
 18. m

  markj JF-Expert Member

  #18
  Aug 15, 2012
  Joined: Jul 6, 2012
  Messages: 1,756
  Likes Received: 364
  Trophy Points: 180
  sijakataa! ila kama kweli wame elemea kwenye hii njia wamekwisha, mana ninauhakiaka tukiachilia hayo ya ajabu wanayodaiwa tiss wanayafanya na idara zingine za usalama si dhani kama wana information yyt wanayoweza kuipata kwa sasa zaidi ya watu wao kusoma humu jf,na vyombo vya habari kuwa tz army wanalinda mipaka, mara viongozi wa tz wamesema hichi na hichi, ila arrangement haswaaa za kwenda vitani wajue wamezikosa!
  ni kaintellegencia flani, lakini mmh! wajipange sana, wale jamaa wa mosaad(rama) wanatuhumiwa kwa mengi, lakini kwa upande mwingine asikuamie mtu wako vizuri kwa kweli. labda waamue kuipeleka na hii nchi mambwepande. lakini kama wanaismamia ilivyo wako vizuri tu hawa watu.
   
 19. Mtego wa Noti

  Mtego wa Noti JF-Expert Member

  #19
  Aug 15, 2012
  Joined: Nov 27, 2010
  Messages: 2,231
  Likes Received: 136
  Trophy Points: 160
  uzuri wa intelijensia, kila kitu kinakusanywa na kufanyiwa analysis na baada ya hapo ndio wenyewe wanaita classified info...sasa hapa wanakusanya kila wakionacho na mwisho wa siku wanaunganisha dts kupata habari kamili...tusiwa-undermine. leo madame wao katangaza kuwa hatapenda nchi hizi zinaingia vitani kwa sababu ya ziwa malawi, anasema atatumia diplomatic ways kumaliza tatizo,je, iwapo tutang'ang'ania kumiliki kipande kimojawapo atakuwa tayari kukitoa ilihali alishasema ziwa lote ni mali ya malawi?
   
 20. Aleyn

  Aleyn JF-Expert Member

  #20
  Aug 15, 2012
  Joined: Nov 12, 2011
  Messages: 10,242
  Likes Received: 13,692
  Trophy Points: 280
  mi nimepishana nao jana katika Kivuko cha Magogoni. Walikuwa kama wawili au watatu hv kwenye gali ya kifahar ya JWTZ. Nilidhani ni Mkubwa yupo mule ndani kumbe ni hao ila mi nilijua kuwa ni wachina
   
Loading...