Wanahabari Kilimanjaro: Viongozi wa MECKI vichwa ngumu na mafisadi wakubwa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wanahabari Kilimanjaro: Viongozi wa MECKI vichwa ngumu na mafisadi wakubwa

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by STINGER, Aug 20, 2012.

 1. S

  STINGER Member

  #1
  Aug 20, 2012
  Joined: Oct 18, 2011
  Messages: 38
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 15
  kwa hili viongozi hawa ni lazima wajiuzulu ili kuepusha mengine mabaya zaidi

  viongozi wa chama cha waandishi wa habari kilimanjaro mecki wameingia kwenye kashfa nyingine kwa kuivunja katiba mpya ya klabu hiyo muda mfupi baada ya kuipitisha.
  baada ya kazi nzuri ya kuitengeneza katibahiyo baadaya wanach kudai kufanyika hilo,

  viongozi hao kwa lazima kabisa waliivunja wakati huo huo tena kwa kushirikiana na mwenyekiti wake ecton chuwa pamoja na baadhi ya wanachama ambao walionekana wazi kunuliwa na viongozi hao wakiwemo wanaojiita wanaharakati wa mecki na ambao wana njaa kali, akina anold swai, venance maleli na samuel shao.  muda mfupi baada ya kupitishwa viongozi hao kwa kushirikiana na wanachama hao waliopandikizwa walilazimisha uwepo uchaguzi wa kuziba nafasi zilizo wazi wakati wakijuwa wazi kuwa katiba hairuhusu kufanya hivyo kwa vile inasema kuwa uchaguzi una nafasi yake kikatiba na mabadiliko ya katiba una nafasi yake kikatiba, wao wakachukuwa mkutano mmoja kufanya yote kwa pamoja.  kwa kufanya hivyo waliutumia mkutano huo kuhalalisha yale yote ambayo yalikuwa yakipingwa na wanachama wenye nia njema kwa kuwaweka madarakani viongozi waliokuwa wakikaimu nafasio za uenyekiti na ukatibu na pia kuwapandishi wajumbe wale wale waliokuwa chanzo cha mzozo uliosababisha katiba kurekebishwa ambao ni salome kitomari makamu mwenyekiti na dikson busagaga katibu mkuu msaidizi

  ili kufanikisha hayo ilibidi wtumie njia ya kuwanunua wale waliokkuwa mstari wambele kuitetea katiba mpaka ikabadilishwa ili wasilete maneno nao ni kama ifuatavyo.

  anold swai  huyu taarifa za wazi ni kuwa viongozi wa mecki walimpa fedha za kulipia kodi ya nyumba ambayo anadai ilikuwa inamsumbua hivyo kuchangiwa na viongozi hao 120,000/= hivyo kusitisha nguvu ya kutetea haki za chama kama vile mwanzo  venance maleli  huyu alikuwa anaendelea kulipa fadhila kwa viongozi wa mecki kupitia mwenyekiti makundi na mratibu wa mecki masanja ambao aliwaomba wampe nafasi ya kufanya vipindi moshi fm ili kuondoa dhana ya kuwa hana kazi kama anavyosemwa mjji mzima  inasemekana kabla ya hapo alishampa hongo mwenyekiti makundi ya shilingi 100,000/= ndiyo maana akapata nafasi moshi fm. Pia inasemekana anaanza kumulikwana uongozi wa rediohiyo kwa vile kuna madai ya kuwa anazunguka kuchukuwa pesa kwa wananchi haswa wanasiasa ili wapangwe kwenye vipindi vya mada kwenye redio hiyo  samuel shayo

  huyu aliahidiwa kuwa atapewa nafasi ya ujumbe kama ilivyotokea hivyo kujiondoa kwenye mchakato wa kuitetea chama kwa haki

  jamani kwa hali kama hii haki itatoka wapi kwa wanachama?  katiba inasema watu wachukue fomu baada ya kuzilipia tena 15,000/= kwa 10,000/=, na kisha majina yao yapitishwe na kamati ya uchaguzi, cha kujiuliza walilipa wapi na majina yao yalipitishwa na nani kwa wakati huo

  wapa wanasema ni amri kutoka utpc je nikweli utpc iko kwa ajili ya kuvunja katiba za vilabu au kuzi imarisha, maana wakati ulipita tuliambiwa utpc imekataa mkutano mmoja kukamilisha mambo mawili kwa wakati mmoja

  wanachama hatutakubali kwa hali kama hii maana haki haijatendeka na viongozi hao si halali

  kwa taarifa hii tunatoa wito kwa viongozi wengine wa vilabu vya waandishi haswa wale wanaogombea nafasi za uongozi utpc kuwa wawakilishi wa kilimanjaro si halali ili watakaoshindwa wakate rufaa maana kwa tamko la viongozi wa mecki ukiukwaji huo una mkono wa utpc

  katiba ya mecki inasema mkutano wa marekebisho ya katiba ni kwa ajili hiyo tu na wa uchaguzi au kujaza nafasi zilizo wazi ni kwa ajili hiyo tuna tena wagombea wachukue fomu, wazilipie na wapitishwe nakamati ya uchaguzi, wanachama watakata rufaa na wagombea wa utpc watakaoshindwa na wao tunawapa taarifa wakate rufaa  viongozi hawa pia si waaminifu kwani walisema hawatatumia hata senti moja kwa mchakato wa katiba lakini taarifa ziko wazi kuwa waliomba fedha kutoka taasisi 3 za hapa moshi wakidai ni za kufanikisha mchakato wa katiba mpya ya mecki na moja wapo wamechukuwa 300,000/= na kwa mwanasiasa mmoja anaewania uenyekiti wa ccm mkoa wa kilimanjaro amewachangia 100,000/= kwa ajili ya mchakato huo.
   
 2. S

  STINGER Member

  #2
  Aug 22, 2012

 3. Mjukuu wa bibi Pili.

  Mjukuu wa bibi Pili. Member

  #3
  Aug 22, 2012
  Joined: Dec 21, 2011
  Messages: 70
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  JF slogan yake ni Home of Great thinker,lakini wewe ndugu yangu unaonekana hiyo slogan hujaielewa kabisa na wewe si mmoja wao.kwa mantiki hiyo unataka kuniambia uwezo wako wa kufikiri umeishia hapo.kwanza nataka kujua wewe ni mwananchama wa chama hicho?kama ndio je umeshiriki vipi kuhakikisha hayo uliyoyaandika hayatokei.na kama hawakuchaguliwa inakuaje wamekuwa ni viongozi na JE mmelalamika kwenye chombo cha juu kinachosimamia chama chenu?Kwenye vyama hawakosekani wapinga maendeleo kwa thread yako hii wewe unaonekana ni mmoja wao.jipange bana hata hivyo hulazimishwi kuwa hapo ndani ndio maana kina James Ole milya ,Shibuda waliamua kuondoka CCM na kujiunga chadema.sasa wewe unauwezo wa kujiunga na chama kingine kama kipo hata TAMWA.
   
Loading...