Ffu defender nane uelekeo wa tegeta na madale je huko leo salama??? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ffu defender nane uelekeo wa tegeta na madale je huko leo salama???

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Mwanaharakatihuru, Aug 22, 2012.

 1. M

  Mwanaharakatihuru JF-Expert Member

  #1
  Aug 22, 2012
  Joined: Mar 21, 2012
  Messages: 479
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Kuna defender nane nimepishana nazo maeneo ya tegeta jamani mlioko huko mtujuze japo tuokoe matandiko yetu Mbunge katutosa....

  Hii ni bomoa bomoa tu na zi vinginevyo
   
 2. N

  Natasha Ismail JF-Expert Member

  #2
  Aug 22, 2012
  Joined: Jul 14, 2008
  Messages: 511
  Likes Received: 153
  Trophy Points: 60
  Mabwepande kumewaka moto wananchi na polisi wanapambana sijaelewa hasa tatizo ni nini aliye na access atujuze wajameni.
   
 3. Mzururaji

  Mzururaji JF-Expert Member

  #3
  Aug 22, 2012
  Joined: Apr 6, 2012
  Messages: 1,236
  Likes Received: 597
  Trophy Points: 280
  Wapo kwenye mazoez mazito kwa 2015
   
 4. BabaDesi

  BabaDesi JF-Expert Member

  #4
  Aug 22, 2012
  Joined: Jun 30, 2007
  Messages: 2,795
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  ...Zilikuwa zinaenda kuwatoa wavamizi waliovamia maeneo ya Kalekwa, Madale ambao walikuwa hawataki kuondoka huko. Hizo Defender ulizokutana nazo zimeenda huko kujaribu kuwaondoa kwa nguvu wavamizi hao.Taarifa ya Radio One breaking news inasema skari wanatumia mabomu ya machozi na risasi za moto huku wavamizi hao wakitumia mapanga na mishale. Majeruhi kadhaa ambao idadi yake haijajulikana wapo kwenye Karandinga la Polisi...
   
 5. Ndechumia

  Ndechumia JF-Expert Member

  #5
  Aug 22, 2012
  Joined: Jul 15, 2011
  Messages: 1,015
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  du!! tanzania bwana,
  hapo kuna mtu keshafika bei na kuchukua eneo
  wakati hao watu wanavamia na kujenga serikali ilikuwa wapi?
  coz nyumba sio uyoga useme utaamka asubuhi ukute imesimama.

  hebu nenda pale bustan ya magogon ukavamie uone hata kama utamwaga mchanga!!
   
 6. M

  Mwanaharakatihuru JF-Expert Member

  #6
  Aug 22, 2012
  Joined: Mar 21, 2012
  Messages: 479
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Mwaka huu kitaeleweka tu
   
 7. Chimbuvu

  Chimbuvu JF-Expert Member

  #7
  Aug 22, 2012
  Joined: Jul 17, 2012
  Messages: 4,403
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145
  Mkuu ngoja nikueleze,tunahitaji serikali inayoongozwa na sheria,nafahamu wewe una akili timamu huwezi enda sehemu ukakuta ni ardhi tupu na ukaanza kujenga na kukaa na kusema ni ya kwako,hayo ni maeneo ya watz wenzet ambao kwa wakati huo waliona mbele kuwa kutakuwa na demand ya ardhi wakanunua mapema ili baadae waje kudevelop,sasa hawa watu wameamua kuvamia hiyo sehemu licha ya kutambua inamilikiwa na watu wengine na mbaya zaidi wanawauzia hadi watu wengine wasiojua a wala be,sasa unafikiri wakiachwa hivi bila hatua madhubuti kuchukuliwa tutakuwa tunatengeneza taifa la aina gani?
   
 8. mtotowamjini

  mtotowamjini JF-Expert Member

  #8
  Aug 22, 2012
  Joined: Apr 23, 2012
  Messages: 4,540
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  Hivi mbona nchi zingine hazina FFU, wanatumia polisi wa kawaida..kwanini hapa bongo vurugu zinazimwa na FFU alafu mapolisi wetu wanabakia kukaa barabarani kusimamisha magari na kuomba rushwa kazi ambayo inatakiwa ifanywe na traffic police
   
Loading...