Tusaidiane ili kuiokoa serikali dahifu

Think

Member
Jul 27, 2012
71
1
huduma zetu na wawekezaji zinaendana na ubora na thamani tunayopewa ktk miradi ya maendeleo au kujuana kwingi halafu kazi haziendi?

tusaidiane ili kuiokoa serikali dahifu kwa maoni iwe kwa wazawa au wageni,

KAMA UNAONA WAWEKEZAJI KUTOKA NJE NI BORA ZAIDI YETU ni heri kuwajulisha akina magufuli wajue au kama wazawa ni bora kuliko wageni basi hakuna haja ya kuwaleta WAGENI ktk miradi ya maendeleo.

JE UDHAIFU WA SERIKALI UPI......?
 
Dah...umechanganya madesa kichizi lakini kidogo nilichoelewa ni kwamba sisi wazawa hatuna mitaji ya kutosha kwenye uwekezaji mkubwa hata tunapoweza hatukati 10% kama wa nje
 
Back
Top Bottom