Naomba kujuzwa

Chuck j

JF-Expert Member
Jun 17, 2011
2,358
815
Naomba kujuzwa kuhusu vifaa vya kuanlock simu na kuflash,,,je vinapatikanaje,,,ni kwa set au?????? bei yake ikoje<?????magroup yake yakoje??????? mtu unaweza kua navyo na kufanyia kazi kama hujasomea ufundi wa simu?????wanaotumia wamesomea wapi????????nitashukuru nikipata maelezo
 
Back
Top Bottom