Ccm yazidi kuwaudhi wabongo uk, yawaahidi pombe na nyama ili wasiende kwenye mkutano wa chadema | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ccm yazidi kuwaudhi wabongo uk, yawaahidi pombe na nyama ili wasiende kwenye mkutano wa chadema

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Chilisosi, Aug 23, 2012.

 1. Chilisosi

  Chilisosi JF-Expert Member

  #1
  Aug 23, 2012
  Joined: Oct 19, 2008
  Messages: 3,055
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  Kwa kile ambacho sasa imeonekana dhahiri kuwa CCM inawafanya watanzania ni wajinga na wenye njaa kali, wamekuja na mbinu za kizamani sana kwa kuamua kuandaa nyama choma siku ambayo Chadema watafanya mkutano mkubwa Reading. Hivi hawa Magamba wanadhani kuwa watanzania ni wajinga kiasi hicho, hii rushwa ya ubwabwa na pombe imesihakataliwa na watanzania walioko vijijini sasa leo hii bila aibu mkubwa mzima unawarubuni watanzania walioko UK waje kwako kuja kula ubwabwa na pombe? kwa hiyo baada ya kuwapa pombe uendelee kuwaibia?
  HIVI CCM WANAZANI WATANZANIA WATAKUWA MAFALA MPAKA LINI?
  Kwangu mimi ni matusi makubwa sana kuwadanganyia watu ubwabwa. hALAFU BILA AIBU UNASEMA MNASHEREHEKEA MIAKA 50 YA UHURU.
  Ubalozi ulitia aibu kubwa kwa kushindwa kuandaa sherehe za UHURU mwaka jana leo hii imepita miezi kumi bila hata aibu unasema sherehe za miaka 50ya uhuru???
  CCM UK MNA AKILI KWELI??
  HATA KAMA MNATAKA KUMFURAHISHA NAPE HAPO NAONA MMECHEMSHA. WATANZANIA SIO WAJINGA KIASI HICHO KUDANGANYWA NA NYAMA
  Hii ni kudhihirisha jinsi gani serikali na ubalozi wake wanavyotudharau, yaani mnatuona watanzania tunaweza kudanganywa kwa ubwabwa. au mnatuona hatuna hela.?
  MUDA WENU UMEKARIBIA
  [​IMG]
   
 2. Lokissa

  Lokissa JF-Expert Member

  #2
  Aug 23, 2012
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 7,079
  Likes Received: 155
  Trophy Points: 160
  nendeni kwenye mkutano wa Chadema mkishatoka nendeni mkale hizo nyoma choma na bia
  tangazo linasema nyama choma na bia zipo hadi kunakucha asbh
  kazi na dawa.
   
 3. F

  Froida JF-Expert Member

  #3
  Aug 23, 2012
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 7,900
  Likes Received: 1,328
  Trophy Points: 280
  Tutakuelewa pale utakapo tuambia wabongo wa UK walizipuuza hizo nyama na wakahudhuria mikutano, manake na nyie mumekaa huko ulaya baadhi yenu munapenda vya dezo,watu wajidhibiti nafasi zao na kujali nchi yao badala ya kuendekeza ujinga wa mtu kualikwa kula nyama na pombe hizo packet za foster watakunywa mwaka mzima upuuzi
   
 4. Mwita Maranya

  Mwita Maranya JF-Expert Member

  #4
  Aug 23, 2012
  Joined: Jul 1, 2008
  Messages: 10,569
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  Kwa wanaojitambua hawawezi kupoteza nafasi adhimu ya kushiriki ukombozi wa pili wa nchi hii kwa kutokwenda kuhudhuria mkutano wa Chadema. Kama ni lazima kwenda ubalozini kusherekea miaka 50 ya uhuni wa ccm basi mfanye hivyo baada ya kumalizika kwa mkutano wenu wa Chadema, kisha mkachome nyama hadi kuchwee.
   
 5. GIB

  GIB JF-Expert Member

  #5
  Aug 23, 2012
  Joined: Mar 2, 2012
  Messages: 337
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kazi kweli kweli . jamani hizo pesa za bia na nyama choma nikodi zetu sisi walalahoi.
  CCM jamani tuoneeni huruma . ila 2015 siyo mbali . tutawanyoa bila maji.
   
 6. zimmerman

  zimmerman JF-Expert Member

  #6
  Aug 23, 2012
  Joined: Feb 17, 2011
  Messages: 579
  Likes Received: 280
  Trophy Points: 80
  Wamewaita mdiscuss mambo mawili matatu kuhusu chama chenu huku mkipata nyama choma na ulevi. Kwa upande wa CCM sijaona baya hapo. Wao kazi yao ni kukutega tu, ni juu yako kutumia akili yako kuchagua pumba na mchele.
   
 7. Nsabhi

  Nsabhi JF-Expert Member

  #7
  Aug 23, 2012
  Joined: Feb 23, 2011
  Messages: 1,096
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Waende kwenye mkutano wa CDM baada na mkutano waende wakale nyama za wajinga CCM. Tatizo ni nini?
   
 8. C

  CHOMA Senior Member

  #8
  Aug 23, 2012
  Joined: Aug 22, 2012
  Messages: 117
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Hivyo vyakula na vinywaji lazima viliwe kwani ni haki ya Watanzania na ni jasho yao walioizuia kwa muda mrefu na hivi sasa ni muda muafaka wa kuvitumia.Anaekataa kutoa kwa njia ya halali lazima vitamtoka kwa njia asiyoitarajia kama hiyo wanayoitumia .Wajinga ndi waliwao.
   
 9. Chilisosi

  Chilisosi JF-Expert Member

  #9
  Aug 23, 2012
  Joined: Oct 19, 2008
  Messages: 3,055
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  Moved???
   
 10. meeku

  meeku JF-Expert Member

  #10
  Aug 23, 2012
  Joined: Jan 24, 2012
  Messages: 571
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Haki ya Mungu hapo hata kama sijala nyama miaka kumi nitajiona kama mbwa koko kufuata nyama za kipuuzi namna hii.

  Kumbe sisiem wanadhani walioko Uk nao wana akili kama wanavijiji kwamba nao wanaandaa kanga na makoti kufunga ubwabwa. Aibu tupu, tena matusi ya nguoni.
   
 11. NHWANI

  NHWANI Member

  #11
  Aug 23, 2012
  Joined: Jun 12, 2012
  Messages: 92
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 15
  kumbukeni peoples power ni Nguvu ya MUNGU. msiingizwe katika dhambi ya pombe.
   
 12. KIJOME

  KIJOME JF-Expert Member

  #12
  Aug 23, 2012
  Joined: Jun 7, 2012
  Messages: 3,079
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 145
  Tafadhali mkuu epukeni udhalilishaji kama huu 314036_247302871986805_630628651_n.jpg
   
 13. hendeboy

  hendeboy JF-Expert Member

  #13
  Aug 23, 2012
  Joined: Nov 5, 2010
  Messages: 219
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  mnaruhusiwa kwenda utakaona kunakufaa zaidi nawashauri mkawazikilize hawa wanaoanza maana wenzetu mmeishazeeka miaka hamsini yote hiyo
   
 14. Mtoboasiri

  Mtoboasiri JF-Expert Member

  #14
  Aug 23, 2012
  Joined: Aug 6, 2009
  Messages: 5,106
  Likes Received: 94
  Trophy Points: 0
  Nasubiri kusikia kitakachotokea siku hiyo!
   
 15. The Son of Man

  The Son of Man JF-Expert Member

  #15
  Aug 23, 2012
  Joined: Feb 9, 2010
  Messages: 12,124
  Likes Received: 1,707
  Trophy Points: 280
  Hiki chama kweli wameishiwa!!!
   
 16. MATESLAA

  MATESLAA JF-Expert Member

  #16
  Aug 23, 2012
  Joined: Aug 11, 2011
  Messages: 1,252
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Aiseee baba yangu kwanini cdm hawakuhairisha iyo siku ili magamba wakose cha kujitetea

  ngoja nipate one 4 the raod
   
 17. Z

  ZeMarcopolo JF-Expert Member

  #17
  Aug 23, 2012
  Joined: May 11, 2008
  Messages: 13,589
  Likes Received: 480
  Trophy Points: 180
  Kwahiyo Chilisosi unataka siku ya mkutanoi wenu shughuli zote za Reading zisimame. Maduka yafungwe, Hoteli zisitoe huduma, kazi zisifanywe ili kila mtu awaze mkutano wenu?
  Siasa ni ushindani, apo ndio umepewa opportunity ya kuonyesha kuwa wananchi wanakuunga mkono. Prove it, stop whinning!
   
Loading...