Ufungaji magari minyororo Morogoro ni ufisadi/maisha bora kwa kila Mtanzania au ni manispaa imechoka | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ufungaji magari minyororo Morogoro ni ufisadi/maisha bora kwa kila Mtanzania au ni manispaa imechoka

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by MAKIRA, Aug 23, 2012.

 1. M

  MAKIRA New Member

  #1
  Aug 23, 2012
  Joined: Aug 23, 2012
  Messages: 4
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 3
  Hope you are doing fine . Thanks god i am doing fine on my side.

  Sasa kuna jambo moja nataka nikueleze as u well know kwamba niko moro kuna kampuni ya ukusanyaji ushuru ya makumira filling station kwa kweli kwa muda mrefu imekuwa kero kubwa kwa watu hapa mjini kutokana na kampun hiyo kushinda kufunga minyororo magari ya watu na kuwatoza gharama kubwa elfu 80! Tena wanafunga magari yaliyopaki nje ya mji! Si unajua tena magari moro nimachache sana japo yamekuwa yakiongezeka daily. Sasa tunajiuliza sisi wadau ni siasa/ ufisadi wa kukusanya fedha au manispaa imechoka kulinda watu wake? Je madiwani wetu meya mbunge wako wapi? Tukimbilie wapi tunapoonewa manake manispaa imekaaa kando eti kwamba walishafunga mkataba? Je, mkataba uliofungwa ni wa kiunyonyaji au unyanyasaji? Kwa weli maswali haya yanahitaji majibu wananchi wawez ekuelewa vilivyo nani yuko nyuma ya pazia?

  Kisa tu kampunihiyo inaleta 12 mln kwa mwezi wakati hiyo nipeanut of the collection? Ndo maana dar walianza kuwapiga mawe na huku hali inaelekea huko pia si muda mrefu

  kwa kweli suala hili linakera na wengi wanasema haya ndiyo maisha bora kwa kila mtanzania? Kwa kipindi hiki cha movement for change inayoendeshwa na chadema itabeba wengi ambao wamechoka na manyanyaso ya kampuni hii inayoongozwa bw. Aitwaye ruta sijui ruta nani!

  Manispaa wameshindwa kumsimamia mtu huyu kwa madai kwamba walishampa mkataba na analeta mapato 12mln per month ndo kisa wanamwogopa eti wakimwuliza anawauliza ataleta mapatogani?

  Lakini najiuliza hiyo kampuni iliambiwa ikakabe watu ndo ilete pesa should it make/collect money through miseries life of people or should the municipal continue making people more poor or suffer by collecting what they dont have?!!!!!!!!!!!!!!!!!!!111

  its very sad and supprising but keeping as worried on how we can survive in this environment! This needs urgent and immediate attention of the party as we dont want to loose our members for acts of other people which are unacceptable!

  Mwishoni watu wamejenga chuki na serikali yao because of this stupid practices of ruta and his company. Who i s he by the way1 the municipal has left its roles of protecting people and now they are protecting mafisadi for them to collect mere?

  Hivi hata kama umempa mtu lesen ya kununua mbolea sasa ndo sababu akalete mbolea iliyo chini ya viwango for a just simple reason that she/he had a contract with you? Should he left to continue causing miseries to our people???!!!

  Some thing needs to be addreesed

  wishing you all the best in this saga.
   
Loading...