Madale, Mbopo, Magwepande hatuhesabiwi hatuna makazi! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Madale, Mbopo, Magwepande hatuhesabiwi hatuna makazi!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Mwanaharakatihuru, Aug 23, 2012.

 1. M

  Mwanaharakatihuru JF-Expert Member

  #1
  Aug 23, 2012
  Joined: Mar 21, 2012
  Messages: 479
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Kama kuna karani wa sensa asijisumbue kwani anaweza kuwa katika wakati mbaya.

  Wadau hapa wameamua kutohesabiwa kwa kuwa serikali imefikia hatua ya kuwaita sio raia kuwa ni wakimbizi katika nchi yao wenyewe, mpango unafanyika watu kwenda kwenye ubalozi wa Canada kuomba hifadhi.
   
 2. kisugujira

  kisugujira JF-Expert Member

  #2
  Aug 23, 2012
  Joined: Aug 13, 2012
  Messages: 769
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Inasikikitisha sana. Serikali huwa inakuwa wapi mpaka watu wanafikia hatua ya kujenga nyumba nzuri kisha zinakuja bomorewa kwa kusema wamevamia maeneo hayo. Huko si ni kuwatia hasara watu na kuwa wakimbizi ndani ya nchi yao? Hebu tusubiri upimaji wa maeneo hayo na hatima yake kwa watakaopewa. Ingekuwa ni kipindi cha uchaguzi wasingetimuliwa na kubomolewa nyumba zao. Si unajua tena aliyenacho hamkumbuki asiyekuwa nacho.
   
 3. K

  KVM JF-Expert Member

  #3
  Aug 23, 2012
  Joined: Feb 11, 2011
  Messages: 1,814
  Likes Received: 336
  Trophy Points: 180

  Kuvamia makazi ya mtu ni kosa la jinai. Hawa jamaa wamekuwa wakivamiwa maeneo ya watu na kudai ni yao. Tabia hii haifai kabisa kuendelezwa Tanzania.
   
 4. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #4
  Aug 23, 2012
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 308
  Trophy Points: 180
  SERIKALI SIKIVU NDIYO HII! Hili zoezi la sensa wangerudi nyuma likaahirishwa tu!
   
Loading...