Bobomoa ya kiama kushuka Kimara nyumba ya Ngeleja ndani, Maige ndani ni malisho ya Tanganyka Packers

Mwanaharakatihuru

JF-Expert Member
Mar 21, 2012
477
120
Katika swala zima la wavamizi haramu wa ardhi huenda Tamu na Chungu kushukia wakazi wa kimara safari hii, ni baada ya Serikali kuamua kuwakabili wa hamiaji haramu wa makazi na safari hii ni wavamizi wa eneo la Tanganyika packers baada ya wale walalahoi wa madale kubomolewa zaidi ya Nyumba mia mbili, Muda wowote kushukiwa na greda la mji.

Source:
Ramani ya Malisho Tanganyika Packers Jiji wanayo:
Hukumu ya kesi Mahakamani.
Taarifa ya mmiliki mpya wa Tanganyika packers.
 
wavunje tu za hawa mafisadi,hii ya maige ni ile ya dola laki saba?
 
sheria inachukua nafasi yake bila kujali wewe ni nani au ulikuwa nani.
 
sheria inachukua nafasi yake bila kujali wewe ni nani au ulikuwa nani.....


haya ngoja tuone hiyo sheria unayoisema kama itaigusa nyumba ya mtoto wa aliyekuwa rais wa awamu ya tatu Alhaji Dr. Ali Hassan Mwinyi ambaye ni waziri wa Afya sasa Dr. Hussein Mwinyi!!!!!

 
Kushine, Ngeleja na Maige kilichobaki tutawaomba naniiiiii ahaahahahahahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
 
Bobomoa ya kiama kushuka kimara nyumba ya ngeleja ndani, maige ndani ni malisho ya tanganyka pac
hapo tu hoi
nAPITA
 
Mnaangalia tu hao wawili, hamuoni athari watakayopata majority ya wananchi wa kawaida?
 
Mwenye ramani atuwekee maana hawa Tanganyika Packers wana maeneo mengi hapa mjini hata kule temboni kwa msuguri nasikia wana eneo kubwa tu.
 
Kama ni kweli hii ni hatari kubwa maana watu wamejenga nyumba nyingi sana maeneo hayo tofauti na Madale. Ni Kimara ya pande zote au ni ya Matosa?
 
Mugabe wa Zimbabwe alipobomoa makazi harare likuwa issu dunia nzina hata Umoja wa Mataifa ukamtuma mjumbe , sijui alikuwa Tibaijuka. Sasa hili la Dar es salaam mbona mataifa ya nje yanakuwa kimya? To destruction of human habitats without compensation is a human right offence - a serious crime. UN mko wapi kwa nini waaathirika wasipewe makazi mbadala??
 
wakati watu wanajenga hiyo mipango haikuwapo wanasubiri watu wameshajenga wamehamia wanaenda kuwavunjia hii ni haki jamani. kama vp wanakimara tayarisheni mikuki,mawe majembe,,apanga wakija liwalo na liwe
 
Back
Top Bottom