Mkulo auza jimbo

ZIMBOO

Member
Apr 6, 2012
23
1
Jimbo la kilosa anakotoka mh.Mkulo ccm laingia ktk hali ya kusikitisha sana kufuatia ubazilifu mkubwa wa mali za uma na vyombo vya dola.wananchi wapolwa ardhi yote na kujimilikisha viongoz na inasemekana mkulo akiwemo ili wakope bank kuu....
 
Mkullo ni mnyasa hana uchungu na nchi hii na ndio maana anafanya ufisadi!!
 
Back
Top Bottom