Ni kweli Membe Ndo chanzo cha kufungiwa Gazeti la MwanaHALISI

Janja PORI

JF-Expert Member
Jul 31, 2011
825
246
Gazeti la Rai leo limeripoti hivo. Naona Membe ni bora ashinikize kufunguliwa kwa gazeti la sivo 2015 watamchafua maana ushaidi naskia upo. Ni kwamba anaogopa kigogo flani wa usalam akitoka pale hataupata uraisi 2015 kazi kweli kweli
 
Huyu bwana kweli anautaka u-Rais? Ukimtizama ni kama "pacha" wa mkuu wa kaya. Naye hulka yake itakuwa hivyo hivyo. TAFAKARI
 
ngoja tumkutanishe na mzee wa kesi mtikila tuone fitina zake..
 
huyu anayeongelewa hapa ni JACK ZOKA deputy chief wa TISS ambaye ndie anadili na majalada ya wanasiasa kabla ya kupelekwa Kamati kuu ya CCM kupitisha na kukata majina ya wagombea. Ni mtu hatari sana mpenda madaraka na rafiki ya Membe wa siku nyingi sana, nafahamu siri zao na vikao vyao na hata watu wa Edward Lowasa ndani ya TISS wanajua ZOKA anavyomsaidia Membe, more stories to follow in the next edition, naomba heineken baridiiiiii...
 
390823_389119901154068_1329969321_n.jpg
 
Huyu bwana kweli anautaka u-Rais? Ukimtizama ni kama "pacha" wa mkuu wa kaya. Naye hulka yake itakuwa hivyo hivyo. TAFAKARI

teh teh teh...inawezekana Ikulu imekuwa sehemu ya kutolea nuksi.
 
Gazeti la Rai leo limeripoti hivo. Naona Membe ni bora ashinikize kufunguliwa kwa gazeti la sivo 2015 watamchafua maana ushaidi naskia upo. Ni kwamba anaogopa kigogo flani wa usalam akitoka pale hataupata uraisi 2015 kazi kweli kweli

Mkuu hapo kwenye red hujatenda haki maana inaonekana ataupata kama vile "automatic"
 
Yaye afanye afanyavyo lakini akumbuke kuwa Muosha nae lazima aoshwe.Huku Ikulu wanakokimbilia kutawatokea puani baada ya kuandikwa Katiba mpya.
 
Back
Top Bottom