Taswira za kutamba na kuanguka CCM Igunga | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Taswira za kutamba na kuanguka CCM Igunga

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Candid Scope, Aug 22, 2012.

 1. Candid Scope

  Candid Scope JF-Expert Member

  #1
  Aug 22, 2012
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 11,896
  Likes Received: 119
  Trophy Points: 160
  Kampeni na shamra za ushindi CCM Uchaguzi Igunga

  [​IMG] [​IMG] [​IMG]

  Huzuni na majonzi baada ya Mahaka kumvua ubunge

  [​IMG] [​IMG] [​IMG]
   
 2. Head teacher

  Head teacher JF-Expert Member

  #2
  Aug 22, 2012
  Joined: Mar 10, 2012
  Messages: 1,811
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Hiyo picha ya chini katikati, utadhani kafumu anapelekwa jela alivyo-mdogo utadhani piriton
   
 3. Mangaline

  Mangaline JF-Expert Member

  #3
  Aug 22, 2012
  Joined: May 19, 2012
  Messages: 1,052
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Mkishinda mahakama inatenda haki, yakija kinyume mbona mnanywea na kulalama mahakama haitendi haki??????
   
 4. Candid Scope

  Candid Scope JF-Expert Member

  #4
  Aug 22, 2012
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 11,896
  Likes Received: 119
  Trophy Points: 160
  Walioiangusha CCM Igunga hawa hapa
  [​IMG] [​IMG] [​IMG][​IMG] [​IMG] [​IMG]
   
 5. Head teacher

  Head teacher JF-Expert Member

  #5
  Aug 22, 2012
  Joined: Mar 10, 2012
  Messages: 1,811
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Hivi huyu jamaa picha ya hapa juu, juu upande wa kulia ni tupo naye hapa tanzania?
   
 6. Dangire

  Dangire JF-Expert Member

  #6
  Aug 22, 2012
  Joined: Oct 5, 2011
  Messages: 209
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  kwisha habari yao.kuanzia sasa kila uchaguzi mdogo ni ushindi wa kishindo tu.........mafisi wakubwa hawa
   
 7. Head teacher

  Head teacher JF-Expert Member

  #7
  Aug 22, 2012
  Joined: Mar 10, 2012
  Messages: 1,811
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Kateni rufaa, mkiingia kwenye uchaguzi hamtoki, kwanza mtapata bonge la pingamizi kwa kutoa rushwa ya ugali na maharage
   
 8. Candid Scope

  Candid Scope JF-Expert Member

  #8
  Aug 22, 2012
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 11,896
  Likes Received: 119
  Trophy Points: 160
  Chadema katika Kampeni Igunga


  [​IMG] [​IMG] [​IMG] [​IMG] [​IMG] [​IMG]
   
 9. amkawewe

  amkawewe JF-Expert Member

  #9
  Aug 22, 2012
  Joined: Dec 9, 2011
  Messages: 2,029
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  Nimeipenda ya Rage. Jamani nami nitaupataje mguu wa kuku?
   
 10. Candid Scope

  Candid Scope JF-Expert Member

  #10
  Aug 22, 2012
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 11,896
  Likes Received: 119
  Trophy Points: 160
  Wataka nikununulie? Lete kibali naweza kukununulia zipo za kumwaga tu kwa wanaovuka mabara mara kwa mara.
   
 11. Candid Scope

  Candid Scope JF-Expert Member

  #11
  Aug 22, 2012
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 11,896
  Likes Received: 119
  Trophy Points: 160
  [​IMG]

  Siku hizi lazima kuwa makini katika chaguzi kwa kutuma watu kadhaa kurekodi matukio ambayo yanaenda kinyume cha sheria za uchaguzi, faulo zikichezwa basi kunakuwa na ushahidi wa kutosha, isijetokea kama yalyotokea Jimbo la Ukonga kupoteza haki sababu ya kukosekana ushahidi wa kimazingira.
   
 12. Mangaline

  Mangaline JF-Expert Member

  #12
  Aug 23, 2012
  Joined: May 19, 2012
  Messages: 1,052
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Hatuna mpango na ubunge wa mahakamani. Sisi sio ninyi.
   
 13. Jayfour_King

  Jayfour_King JF-Expert Member

  #13
  Aug 23, 2012
  Joined: Nov 15, 2009
  Messages: 1,142
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Hii ni kawaida ya binadamu yeyote kwa sababu huwezi kwenda mahakamani kama huna uhakika kama utashinda shauri uliloendea.
   
Loading...