Habari ya Mifuko ya jamii kukatalia pesa ya wafanyakazi imeishia wapi?? manake jana mtu mmoja ameenda NSSF, kudai mafao yake akakataliwa... sasa afanyeje?? ushauri wenu Tafadhali....
Wadau,mwandishi Eric david Nampesya amefanya uchunguz wa biashara haram ya binadam,watu ambao anawahoji wanakiri kuwa wanashirikiana na askari wa uhamiaji,makala hiyo itaendelea jioni
Sensa ni zoezi ambalo halina faida kabisa kwa watanzania hususani sensa
hii itakayofanyika. Serikali isiyowajali wanchi wake itafanya nini baada ya
kuwahesabu zaidi ya kuwa ni zoezi au njia ya...
Kwa wale ndugu zangu wanaoishi UK, nitapataje kichwa cha scania
R420. 6×2/4 wheel base 3975, mpaka kifike Mombasa port ni £ ngapi au ni $ ngapi please email me richadnguma@gmail.com or text...
Wana jf heshima kwenu.
Nimepata wazo la kuanzisha biashara ya kukodisha magari. Ninayo magari mawili 4x4 heavy duty ambayo siyatumii hivyo nimeonelea nianze na hayo kwanza. Mwenye uzoefu na...
Mimi ni mshabiki wa kipindi cha 'Watanzania Tusome Magazeti' kinachooneshwa na Star tv kila siku saa 12.30 asubuhi. Wakati mtangazaji anashika gazeti akilisoma huwa naona doa la rangi ya zambarau...
Hii operation inayoendeshwa na jeshi la polisi juu ya uvamizi wa viwanja huko maeneo ya madale limezua jipya baada ya kuonekana kuwa kuna raia wa kutoka kenya wakijihusisha na uvamizi wa viwanja...
Nahisi ni ubadhilifu 2 wa fedha za umma. Kwanini hawa wajumbe wa nyumba 10 kushirikiana na serikali za mitaa kufanya kazi ya sensa kwa kuwa wako karibu zaidi na wananchi wa mtaa wao zaidi kuliko...
Mmea wa Mbuyu Unatakiwa Kuzalishwa Kwa Wingi- Wizara
Tuesday, February 10, 2009 11:27 PM
MMEA wa zao la mbuyu unatakiwa kuzalishwa kwa wingi nchini kutokana na kugundulika kwa kutoa...
kiongozi mwenye msimamo anayesikilizwa na waislam wengi Tanzania sheikh Ponda issa Ponda amesisitiza msimamo wa waislam upo pale pale hatutashiriki sensa. source Taarifa ya habari Chanel ten.
Habari za asubuhi wanajamvi.
Tokea juzi usiku (jumamosi) saa tano internet connection ya tigo ilipotea kabisa mpaka sasa hivi navyopost (jumatatu 7.35am) bila ya taarifa yoyote ile.
Hili tatizo...
kuna taarifa tumepata makarani wa sensa wanadai rushwa ili uhesabiwe'jamani rushwa mpaka kwenye sensa tutafika?
Tunaomba serikali ya ccm imulike hilo na kuchuka hatua
13 July 2012
Rushyd Ahmed
SERIKALI ya Zanzibar inakusudia kuanzisha Mamlaka ya Udhibiti wa Nishati na Maji. Waziri wa Maji, Ardhi, Makazi na Nishati, Ramadhani Abdallah Shaaban, ameliambia Baraza...
Taarifa ambayo imenifikia muda huu kutoka huko nchini Sudan jimbo la Darfur.Kuwa askari wawili wa jeshi la wananchi wa Tanzania wamekufa kwa kuzolewa na maji wakati wakivuka mto kwa kifaru na gari...