Lens ya Kamera ya Star Tv Kwenye Kipindi cha Tusome Magazeti Watanzania ina doa la rangi! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Lens ya Kamera ya Star Tv Kwenye Kipindi cha Tusome Magazeti Watanzania ina doa la rangi!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by SHIEKA, Aug 27, 2012.

 1. SHIEKA

  SHIEKA JF-Expert Member

  #1
  Aug 27, 2012
  Joined: Dec 20, 2011
  Messages: 8,118
  Likes Received: 934
  Trophy Points: 280
  Mimi ni mshabiki wa kipindi cha 'Watanzania Tusome Magazeti' kinachooneshwa na Star tv kila siku saa 12.30 asubuhi. Wakati mtangazaji anashika gazeti akilisoma huwa naona doa la rangi ya zambarau chini upande wa kushoto wa tv. Hili nimeliona kwa muda mrefu na napata wazo kwamba lens ya kamera ndo yenye hilo doa la zambarau.Nawauliza wapiga picha wa kipindi hiki, je, mnayo habari ya doa hilo kwenye lens?

  ANGALIZO: Tafadhali usichangie kwa kusema kwamba sreen ya tv yangu labda ndio yenye huo uchafu nk. Nimeshafanya uchunguzi wa kutosha.
   
Loading...