Mafao ya wafanyakazi vipi ??? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mafao ya wafanyakazi vipi ???

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by PAKA MAPEPE, Aug 27, 2012.

 1. P

  PAKA MAPEPE Member

  #1
  Aug 27, 2012
  Joined: Jul 20, 2012
  Messages: 19
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Habari ya Mifuko ya jamii kukatalia pesa ya wafanyakazi imeishia wapi?? manake jana mtu mmoja ameenda NSSF, kudai mafao yake akakataliwa... sasa afanyeje?? ushauri wenu Tafadhali....
   
 2. Chimunguru

  Chimunguru JF-Expert Member

  #2
  Aug 27, 2012
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 9,843
  Likes Received: 270
  Trophy Points: 180
  issue imesimamishwa for next six month mpaka bunge litakapokaa tena mwezi wa kumi na moja, ndipo waheshimiwa wetu watakaa tena kutuamulia hatma yetu ingawa ni haki yetu.
   
Loading...