Ina maana baada ya kuhesabiwa maendeleo yanakuja au??

adakiss23

JF-Expert Member
Jan 23, 2011
4,477
4,270
Sijaelewa logic ya kuhesabiwa ni ipi hasa? Je maendeleo yatakuja soon baada ya sensa au?

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Sijaelewa logic ya kuhesabiwa ni ipi hasa? Je maendeleo yatakuja soon baada ya sensa au?

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums

Hapana hii issue tumeifanya mapema kabla ya uchaguzi wa mwaka 2015 ili kutuwezesha kujipanga vizuri, itatuwezesha kujua maeneo ambayo yana wingi mkubwa wa watu ili itusaidie kupeleka nguvu nyingi zaidi huko katika campain, pia kuna mambo mbalimbali ya kuangalia katika campain kama elimu ya watu ambao tutaenda kuwapigia campain kama ni ndogo inakuwa ni rahisi kuwamanipulate mfano kuwahonga kanga,tshirt n.k na pia inatusaidie kujua tupeleke kanga na tshirt ngapi za kuhonga katika sehemu husika kwa hiyo hatutatumia nguvu kubwa sana kama elimu yao ni kubwa inabidi kujipanga sana katika kufanya campain kwa hiyo kwa ujumla sensa ni ya kutusaidia kushinda tena uchaguzi wa 2015 si unajua lazima kujipanga.
 
Back
Top Bottom