Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Wadau wa jf,j2 nilihudhuria tamasha la fiesta hapa Tanga kilicho nishangaza ni mlolongo wa magari yetu ktk hilo tamasha .Kulikuwa na zaidi ya magari 5 ya serikali.sifahamu kama ni maafisa toka...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Jumatano, Agosti 29, 2012 05:57 Na Pendo Fundisha, Mbeya KAMPUNI ya Wachina ya CICO inayoendelea na ujenzi wa barabara za Mbeya, imedaiwa kuvamia eneo la wananchi...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wananchi wa eneo wamelalamika vya kutosha ingefaa wasikilizwe hata kidogo.........something has to be done!!!!
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Kuna tamasha la Serengeti Fiesta linarabitiwa na clouds media wanazunguka karibia miji mikubwa yote Tanzania bara swali langu je viingilio vya getini vinalipiwa kodi yaani maafisa TRA wa mikoa...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Aliekuwa mgombea wa udiwani kwenye uchaguzi wa mwaka 2010 Bwana Celisi Mosha kwa tiketi ya cmm tarafa ya Vunjo (kilema kati) amejeruhiwa na watu wasiojulikana kwa kumkata sehemu kubwa ya mwili...
0 Reactions
29 Replies
3K Views
Yaani wee acha, yule dada ambaye ukimchanja kiwembe basi damu yake ni Chadema tupu. LB ameweka headline nyingine USA na nguo za uzinduzi wa tawi la Chadema Houston TX. Nguo zimejaa rangi...
5 Reactions
34 Replies
8K Views
Haya haya kumekucha uwanja wa nyumbani, asiyebeba mwana aeleke jiwe siku ya tarehe 9/9/2012 katika viwanja vya Jangwani. Prof. LIPUMBA ataongoza mamilioni ya watanzania akielezea sera ya...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Kwa wale activists wa human rights and rule of law ni wazi kwamba mhariri wa mwananchi la leo amepeleka meseji iliyosheheni utetezi na ukweli kuhusu hasa kilichofanywa na polisi pamoja na...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
kuna msemo unasema:"mfa maji haishi kutapatapa!!"ukimaanisha kuwa mtu mwenye shida hukamata chochote ili kimsaidie hata kama ni nyoka!!,swali langu kwa viongozi wa chadema:vipi mnaweza...
0 Reactions
0 Replies
936 Views
Muda si mrefu kutakuwa na namba za magari kama T001 CCM, T005 CDM, T007 CCJ, T101 CUF na nyinginezo nyingi. Je namba hizi hazitakuwa na ushawishi kisiasa kwa kuwa zimebeba m vifupisho vya vyama...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Habari ya kushekesha na kukumbusha wanasheria kuwa makini wanavyotoa huduma. Hapa mwanasheria kuacha kuweka kipengele cha kuelekea jinsi ya kutoa malipo ya fine katika kesi ya Apple dhidi ya...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
"A nation can survive its fools, and even the ambitious. But it cannot survive treason from within. An enemy at the gates is less formidable, for he is known and he...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Kijana Joseph Mapunda amegundulika kuwa anaishi ki-ndoa na mama yake mzazi kwa muda wa miaka 10 sasa. Mama yake alipohojiwa amethibitisha kwamba ni kweli na kwamba anampenda sana 'mumewe' huyo...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Nilivutiwa na tangazo la Vodacom kuwa ongeza salio la 7500 kabla ya 31st August nao watakuongezea mara mbili, nikapiga hesabu yangu nikaona nikiweka hiyo na kupata ofa angalau itanisukuma kwa siku...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Nilikua nasikiliza Radio One asubuhi hii,nikasikia eti ile terminal ya mabasi pale Mwenge inahamishiwa Makumbusho... Eti moja ya sababu ni kwamba wafanyabiashara wanaopanga bidhaa chini na mezani...
0 Reactions
13 Replies
3K Views
Leo ktk taarifa ya habari ya sa 2 usiku, walichukua dk. takribani 5 kuonesha mazishi ya Baba yake Erick Shigongo, maswali nayojiulza ni kuwa, Huyu mzee alikuwa maarufu kiasi cha kupewa airtime mda...
0 Reactions
23 Replies
3K Views
Mtaani kwetu, kunavijana wanne wa shule za msingi(Artists), wanapinga dili la shading karatasi za sensa, moja kwa Tsh 100. Haswa kwa wale mateacher wa vivu, madogo wanakula pesa. Makarani...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Miezi karibu 10 iliyopita TANESCO ilipendekeza kuongeza bei ya umeme kutokana na gharama za uendeshaji kuongezeka. Walidai kuwa gharama hizo zinawafanya kushindwa kusimamia sekta hiyo kikamilifu...
0 Reactions
0 Replies
966 Views
Angalia vizuri na hako kapicha kadogo juu ya picha kulia kuhusu Bi. Nkya. Sasa sijui hili gazeti lenyewe lina maadili kuliko ya Mwanahalisi? Kazi ipo.
0 Reactions
13 Replies
3K Views
*Orodha ya kwenda Ikulu jina lake lakatwa *Ukomo wake ni Oktoba 5 mwaka huu* Kilio cha kina Telele, Sendeka chasikika Jina la Mwenyekiti wa Bodi ya Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro, Pius Msekwa...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…