Mkuu,
hii habari yako uliyoleta humu ungeweza kuokoa muda wako kwa kumtumia SMS Mbunge wa Jimbo au kuweka kwenye ukurasa wako wa Facebook. Namaanisha kuwa haieleweki kumpa nafasi mwana JF kuchangia au kufahamu lolote kutokana na hicho kiwanda husika.
Haujatueleza Kama kiwanda kinahusika na usindikaji bangi. Na hao Wananchi malalamiko Yao ni kuhusu nini? Au kunapigwa muziki usiku kucha Kama Dar Live!?
Jipange leta mada iliyosheheni maelezo ili ifanyiwe upembuzi yakinifu.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.