Stk,sm and dfp ktk fiesta

Chinga boy

JF-Expert Member
Apr 3, 2012
412
101
Wadau wa jf,j2 nilihudhuria tamasha la fiesta hapa Tanga kilicho nishangaza ni mlolongo wa magari yetu ktk hilo tamasha .Kulikuwa na zaidi ya magari 5 ya serikali.sifahamu kama ni maafisa toka wzra ya utamaduni au ndo walikuja kula bata kwa kutumia magari yetu,inauma sana
 
Kiongozi mbona hiyo ni kawaida tu, huwa yanabeba mpaka nyasi za kulisha mifugo yao, who cares?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom